Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😁😁😁😃😃🙃
Huu ni uhuni sasa.
Drc wana karibu week 3 wanatishia m23 , tutawashambulia tutawashambulia tutawashambulia , hakuna lolote . Mngeuhonyesha uwanaume huo muliowapeleka Kule, sisi wenzenu 2013 tulienda kule hatukusema maneno MENGI m23 walipotezwa zaidi ya 1000+ tena tukatupia mpaka bom ndani ya BABA yao Mr PK, akalalamika tukapoteza askari mmoja tu.
 
Tena hi wakasema breaking news😀😁😆😝
 
Muambie watoto wa mapanga ndo hao M23.
Nafikili Hajajua kuwa JWTZ 15 waliouwawa waliuwawa na jeshi la Rwanda , ilikuwa kagame alienda kulipiza kisasi, kutoka na operation ya 2013.
Eti waliuwawa kwa mapanga , yani wewe una bunduki Adui anapanga eti vinakuja kweli akilini mkuu. ADF na kambi ya jeshi la UN lilikuwa mbali na eneo lile. Ila investigation ya Haraka waliamni ni ADF baada ya uchunguzi ikaonekana hawakua wao, Maana siraha zilizotumika pale zilikuwa za moto kweli kweli , siraha nzito kweli.
ADF ni watu wa kukimbia kimbia kimbia, wewe fuatilia tuu , hats wakikutana na vikundi vingine wao wanakimbia tuu.
 
😁😁🙃🙃🙃😉😉😉😂😊😉😉😉
20221214_234916.jpg

Eti Mr Putin
KDF wangepigana na m23 kingetokea nini huko , kwa utabiri wako.
 
😁😁😁😃😃🙃
Huu ni uhuni sasa.
Drc wana karibu week 3 wanatishia m23 , tutawashambulia tutawashambulia tutawashambulia , hakuna lolote . Mngeuhonyesha uwanaume huo muliowapeleka Kule, sisi wenzenu 2013 tulienda kule hatukusema maneno MENGI m23 walipotezwa zaidi ya 1000+ tena tukatupia mpaka bom ndani ya BABA yao Mr PK, akalalamika tukapoteza askari mmoja tu.

Ati mlipoteza askari moja?😂😂😂

1671051540606.png
 
Bwana Good night maana wewe. Na log off rasmi huzi huu . Huna hoja , hata KDF hivi mnazo multiple rocket launcher. Kweli
KDF is the richest army in the region with the biggest budget. Your poor army can't do anything to them.
 
Back
Top Bottom