Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baboon usijifanye hukuona what happened in your border with Mozambique juzi🤣🤣😂

Bruh nikileta taarifa za nyie kupigwa within NAIROBI ni nyingi mnoo 🤣🤣🤣. Hakuna comparison ya sisi na nyinyi likija suala la uimara wa jeshi mzaee .. alshabaab in your capital city 👇. Hii inaelezea tu how weak your Kdf is .. 🤣🤣 waasi wakiwa na uwezi wa kufika capital city na kupiga that means mnaweza tekwa taifa zima anytime
 
KWANI somalia ni jubaland tuu pekeake ?
KDF has managed to create an autonomous state in Somalia.

This is Jubaland, this area which is important to Kenya. This where KDF is focused with.

images (7) (2).jpeg
images (7) (3).jpeg
 
Bruh nikileta taarifa za nyie kupigwa within NAIROBI ni nyingi mnoo 🤣🤣🤣. Hakuna comparison ya sisi na nyinyi likija suala la uimara wa jeshi mzaee .. alshabaab in your capital city 👇. Hii inaelezea tu how weak your Kdf is .. 🤣🤣 waasi wakiwa na uwezi wa kufika capital city na kupiga that means mnaweza tekwa taifa zima anytime

Baboon Incase you want to know how special forces dealt with them take a look here.

Hawa walimalizwa with only 6 special police and not KDF.

1671048055246.png

1671048118976.png
 
Bruh nikileta taarifa za nyie kupigwa within NAIROBI ni nyingi mnoo 🤣🤣🤣. Hakuna comparison ya sisi na nyinyi likija suala la uimara wa jeshi mzaee .. alshabaab in your capital city 👇. Hii inaelezea tu how weak your Kdf is .. 🤣🤣 waasi wakiwa na uwezi wa kufika capital city na kupiga that means mnaweza tekwa taifa zima anytime

One vyumbo VYAO vya habari vinavyodanganya huko
Wakati hakuna yoyote walipigana nao.😀😀😁😁😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Is like hujui what Kenya went to do in Somalia. Our main aim was to remove Al -Shabaab from Kismayo (Jubaland) which KDF succeeded. Jubaland is the part of Somalia that have a direct border with Kenya.
Hilo shambulio ni la mwezi wa 10 , sasa wanafanya nini huko kama mmefanikiwa huko jubaland ?
 
Hizi picha na Domo domo nyingi hazikusaidii kitu kijana, vid kibao unaonyeshwa vile mnavyo gongwa but u still here bragging 🤣🤣🤣
I'm here bragging to you because I know that Tanzania have the weakest army in the region.
 
Hilo shambulio ni la mwezi wa 10 , sasa wanafanya nini huko kama mmefanikiwa huko jubaland ?
Wachana na huyo chizi atakusumbua tu .. mwache kichaa huyo
 
Back
Top Bottom