Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hater wa Samia watasema CCM imenipa kazi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.

Mimi Ni mjumbe tuu jamani nafurahia kazi nzuri ya Awamu ya 6.

Dk Samia anaendelea kujizolea tuzo ๐Ÿ‘‡
 
Miji ya kibongo inajengwa kambe wenyewe hawatawai nunua magari, yani unapata nyumba zimerundikana hamna hata pa gari kupitia. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Kama mitaa za Dar karibu zote, ni panya routes yaani corridors, unapita nyuma ya nyumba za watu unaweza kuskiza kile kinaendelea ndani., madirisha ni wiremesh, vasco da gama kinda๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Huyu ndo rais wenu. Kazi ipo
Kaondoka bila kuaga hata mapichapicha ya akiwa JNIA hatukutaarifiwa
Yani nchi inapigwa kwa ss balaa, rushwa kila kona, immigration ndio usiseme yn ni wazi wazi, mashirika ya umma yapo taabani, ATCL iko hoi A220 zote hazifanyi kazi, kila siku ni ugomvi na abiria.

Yani kila kitu kipo hovyo, mama hajui chochote na wala hajui aanzie wapi zaidi ya kusafiri safiri, uongozi wa nchi co kila mtu anaweza jamani ifike maala wananchi tupaze sauti, tusikubali huyu mwanamke arudi ofisini tena, tutakuwa wapumbavu wa mwisho tukiruhusu hilo kutokea, ni failure everywhere.
 
Kwani hujuangi Mbeya ni city? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
I know of village city called Mwanza na Arusha.., na eti Ka Dodoma..., Mbeya!!..., Tz ni Uganda ingine.., do u know Uganda has more cities than Kenya eti? yaani 10 cities!! sasa ndio Tanzania,๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
We nawe ni mnuka mavi tu yani picha nzuri za mbeya zilizowekwa humu umeziruka umechagua ile inayokufurahisha, hiyo thika village sehemu kubwa ni chafu na yenye taka kila angle na bado unaisifia, thika ni chafu sana usiipe sifa isizokuwa nazo mnuka mavi wee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ