Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbeya ni City bro😂😂
 
Unanionyesha main roads na mimi naongelea access road. Hivi vibarabara ulivyopost ni main road, ebu nieleze mtu ataingiaje na gari huku akishatoka kwa hiyo main road?

 
Liberal Kuna access roads? Afu Nani kakuambia zile Ni main roads?
Kibera ni slum na ni sehemu ndogo sana ya Nairobi na bado kuna barabara . Nyinyi kwa dream houses bado hamna barabara. 🤣 🤣 🤣

Ila kwa mitaa ya mtu wa kawaida Kenya kuna barabara safi sana. Ebu checki

Umoja


Kariobangi



Pipeline

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…