Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂😂😂😂 My ribs 🤣🤣🤣🤣

5. Waweke animal abuse bureau hapo Lamu port sababu Wakunya hawachelewi kulawiti hao ngamia 😂😂😂 ndio michezo yao 🤣🤣🤣🤣
 
Mijengo waliojengewa Marais wastaafu Tz .. Nyumba ya Mwingi 👇.. hivi yule mjane wa Magufuli ye atajengewa nyumba pia.? Kama sehemu ya mchongo wa aliyekua mume wake kwa kulitumikia taifa.? Imekaaje hii wajuaji wa mambo.?
 
Ila bado ni below standard, housing ni zile muundo ya kizamani.., mji unakaa ancient town in 2022, has an old look, looks like most Ugandan towns..,

A town should look like this 👇(Thika town) kwa mfano, haijafika ila inaonyesha it is a town, Mbeya has a village look, hope Mbeya haijatajwa kama city in Tz kwa vile serikali yenu na ya Uganda wako na hio tabia ya kutaja substandard towns eti ni City...,


 
Ila bado ni below standard, housing ni zile muundo ya kizamani.., mji unakaa ancient town in 2022, has an old look, looks like most Ugandan towns..,
Viwanja vya high density ulitegemea Nini Cha tofauti?

By the way Neibourhoods huko pembezoni mwa Mji Mambo Ni bambam.

Mbeya you won't be shown kwenye video za haters,hapa Ni mtaa mmja tuu unaitwa Ituka na hizo Ni Baadhi tuu ya Picha za residential kaliMbeya
 
Serikali kuboresha viwanja vitano vya mpira, kuviwekea viti, majani ya bandia pamoja na screen 👇.
Hivyo ni viwanja vya CCM, CCM wenyewe hawawezi kuviendeleza bila msaada wa serikali na kodi zetu.. kwenye hayo majadiliano ya familia moja (Baba Serikal na Mama CCM) kwann wasiviuze moja kwa moja kwa serikali

Afu kwa mantiki hio ya majadiliano, ule uwanja mpya wa mpira wa serikal mkoani Dodoma tuusahau kbsa kujengwa, (ndo mana hata sijawahi kumsikia akiuzungumzia). CCM wanataka uwanja wao wa jamhuri ndo ufanyiwe marekebisho waendelee kupiga hela. Hapa mama anaiweka CCM mbele kuliko Taifa
 
Naona sasa una post picha vizuri, zinaonekana clear, kudos..., hapa Kenya ikija organized residential estates in small towns ziko sana...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…