Ukiona mwananchi anasema baadhi ya sehemu za mji ni no go areas ujue tayari state imesha collapse.Kunyans denialism to win 5 seconds online psychology comfort [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkunya yupi hajawahi kwenda CBD (gikomba) [emoji23] au ni wewe Teargass huyu? [emoji1787]
View attachment 2443682
Hahaha mpumbavu huyo sasa kama CBD ya Nairobi hawezi kwenda sababu ya Usalama yupo Kenya kufanyaje? Sababu video 100% imeshutiwa CBD japo pananekana kama jalalani kwa mazombi 😂😂😂Yaani kuna maeneo watu wanaogopa kwenda kwa ajili ya Usalama? 🤣
Ila hawa jamaa kwa disorganisation hawajambo utafikiri hakuna mamlaka za mji dah hatari.Sijui confidence ya kumuomba mtu hela...na una akili timamu na nguvu zote inatoka wap?
Hii video ukiangalia kwa umakini utaona kuna tatizo kubwa sana Nairobi na kenya kwa ujumla....lavel ya umaskini haizungumziki...
Mji wao ni mchafu sana, public transport ni ya ovyo, barabara zina matope tena yale meusi
CBD ya Nairobi hiyo..View attachment 2443690View attachment 2443691View attachment 2443692View attachment 2443693
Kika siku mimi nasema humu Kenyans ni washamba sana.Aisee nipo kwenye puzzle inakuaje group lote lile linamfata Mzungu mwendo mrefu kiasi hicho na alishawaambia hataki wamfate ataenda na mmoja tu hotelini [emoji848]
Lengo lilikua kumuibia au bado wana imani watapewa msaada walionyimwa tayari!
Wakenya mnadhalilisha Africa, kwa tabia hizi waafrika tunaonekana vituko, ni 21st century lakini people in CBD behave like stone age primitives, yapo kama mazombi [emoji706]
Hii railway mumejenga lini?BRT na rail zinafanana?😂😂😂. Rail should go with rail.
Kuna Commuter Rail in Nairobi which is much efficient than your BRT.
View attachment 2443783View attachment 2443814View attachment 2443816View attachment 2443817View attachment 2443819
Tumejenga keshoHii railway mumejenga lini?
Ngoja waje na data zao za kupikwa kariobangi tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Where is Kunyan Country
View attachment 2443701
You must be stupid not to recognise Tanzania on the map.I don't see any Tanzanian in this list.
There is no Tanzanian in the map.You must be stupid not to recognise Tanzania on the map.
Kenya has a higher poverty rate than TanzaniaBecause most of your countrymen in this thread doesn't like to face the truth.
You reason like a Warthog 😂😂Kenya has a higher poverty rate than Tanzania
Usitutoe kwenye mstari mada hapa ni kumzunguka na kumfuatilia mzungu katikati ya mazingira duni ili mpate chochote kitu tuendelee kuchangia [emoji16]
We have better roads and the whole country is accessible even with a saloon car hence travelling convenience.JKIA is full to the brim. Airports zetu zinajazwa na wakenya and that's why they are always full. Sio kama Tanzania where the citizens are poor to an extent that can't even travel using cheap aircraft. Hao wanangoja wazungu waje wawajazie airports[emoji23][emoji23][emoji23]
JKIA yesterday evening.
View attachment 2443772
Ngoja tumpe nondo haya kuna electric trains in Addis Ababa na Dar es salaam. Nairobi kuna nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hb tuanze taratibu
Kuna light rail in Adis [emoji116]the first one in sub Sahara [emoji116]View attachment 2443770View attachment 2443771mbili .. kuna BRT system in Dar the first in East and Central Africa [emoji116]View attachment 2443774View attachment 2443775View attachment 2443778... Haya tueleze kuna nini NAIROBI in terms of modernity.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Impoverished Peasants of Topestan (Kundustan) 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣Usitutoe kwenye mstari mada hapa ni kumzunguka na kumfuatilia mzungu katikati ya mazingira duni ili mpate chochote kitu tuendelee kuchangia [emoji16]
Meza wembeThere is no Tanzanian in the map.
😂😂😂😂Embu mtu atuwekee kale kapicha cha ngombe wakivuka barabara kwenye foot bridge tucheke kidogo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]