chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,676
- 45,907
Hivi ni mimi mwenyewe naona Nairobi ipo overpopulated? Halafu wote jobless, Tanzania huwezi kukuta mtu anamshobokea Mzungu kiasi hiki, Kenya sijui ni ushamba sijui nini wanaweka kikao kabisa watu wazima wenye familia wanaacha shughuli zao kumshangaa Mzungu na kumuomba hela 🚮Huyo mzungu analalamika watu wanamuomba hatari....mtaa mzima wote wanaomba hela...
The level of poverty iko Nairobi haisimuliki....
Halafu nguvu ya kujisifia wanaitoa wap