The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Haya mambo ndiyo mnayajua leo? Naona mmeishupalia hyo Google street view utadhani ni jambo jipya, nyinyi watu ni washamba sn aisee.Pale Australia jamaa alimtalaki bibi after kumpata akicheat kwa Google streetview
Halafu hawa wakapatikana in the act.
Mwamba uyu hapa [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siafikiani na nauli zao lakini unachekesha sana kufananisha nauli za bullet train na train zenu za kuni [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninyi kwanza ilitakiwa iwe bure kabisa
Hamna SGR Kenya kaa kimya.Both railways are SGR.
We uko shortsighted sana,Ni kichaa ndio angeweza kuacha ikiwa lilishakula zaidi ya Til.10..
Alisema ukiacha Ni hasara Mara mbili unless ungekuwa kwenye hatua za awali.
Tunakoelekea Ni kutumia Kodi zetu kulifanya liwe alive,huu Ni upuuzi.
Hiyo sgr line Hakuna mzigo Wala Nini Ila Ni kujifariji tuu ooh tumeangalia Miaka 100 ijayo na blaa blaa zingine.
Wewe ambae Ni long-Sighted ngoja tusubirie mtakavyokuwa mnahesabu hasara,mumeanza na mabehewa maana mlikuwa mnatuonyesha nyoka Ila uhalisia Ni mapipa afadhari na ya Kunyaland..We uko shortsighted sana,
Malori yanayopita morogoro road to mikoani yatapungua kwa kiasi fulani, tutasave time ya kusafirisha mizigo,barabara hazitakua zinaharibika kwa kipindi kifupi...Itaongeza ufanisi wa usafirishaji mizigo na watu.
Umeme tunaouzalisha unapata matumizi tanesco watauzia trc umeme na kuongeza mapato hivyo itasaidia kuhudumia na wananchi wengine ambao hawajafikiwa na huduma.
Bandari kavu ya kwala itakapoanza kutumika itapunguza foleni kule kurasini kwahyo port inazidi kua efficient
Kitu cha kukazana nacho ni kuendelea kutanua port ili mizigo iongezeke maradufu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌Mwamba uyu hapa [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe soja unajua nini kuhusu SGR? By the way how are you fairing with those used locomotives Tanzania bought?🤣🤣😂Hamna SGR Kenya kaa kimya.
Kuna msemo wanasema kumchukia mtu ambaye ye hana habari au hajui ni kujiweka in your own prison...We uko shortsighted sana,
Malori yanayopita morogoro road to mikoani yatapungua kwa kiasi fulani, tutasave time ya kusafirisha mizigo,barabara hazitakua zinaharibika kwa kipindi kifupi...Itaongeza ufanisi wa usafirishaji mizigo na watu.
Umeme tunaouzalisha unapata matumizi tanesco watauzia trc umeme na kuongeza mapato hivyo itasaidia kuhudumia na wananchi wengine ambao hawajafikiwa na huduma.
Bandari kavu ya kwala itakapoanza kutumika itapunguza foleni kule kurasini kwahyo port inazidi kua efficient
Kitu cha kukazana nacho ni kuendelea kutanua port ili mizigo iongezeke maradufu
Soma vizuri hilo ni ombi la trc kwa latra ambao watakaa na wadau na kuamua nauli itakuaje,wakati brt inaanza kufanya kazi udart walipeleka maombi yao ilikua ni elfu 2 hivi latra wakafanya Tzs 600Hawa watu wananyonywa kweli kweli. Ati fare from Dar to Morogoro a distance of 200km ni ksh 1,300. Mombasa to Nairobi a distance of 450km is ksh 1000.😂😂
View attachment 2440639
🤣🤣🤣🤣🤣Mbezi beach ndio inafuata Masaki? Yani ni kama Runda au Muthaiga hivi 😂 😂 😂
Hate ni kama cancer inakutafuna tu taratibuu..Kuna msemo wanasema kumchukia mtu ambaye ye hana habari au hajui ni kujiweka in your own prison...
Tangu nimeanzaa kuona post za huyo jamaa na kuzisoma kicuba huyo mwamba anamchukia magu saanaaaaaa yaan saaaaana..
Namuoneaga tu huruma jinsi alivyojiweka kwenye hicho kifungo wakat mhusika ashajilalia zake..
Dar pop 5.3MImeshinda Mbezi ndio ila for the second best neighborhood in a city of 6M people bado sana.
Greenery Dar imejaa pomoniRiverside drive. Hapa ndio Muhoozi anatamani Sana kuishi akinyakua Nairobi Kwa ndoto zake. Huku ndio kuna Ugandan Embassy, where their ambassadors don't want to leave.
No major city in Africa can rival Nairobi's greenery.
View attachment 2440955
Unajichekesha nn sasa[emoji2]Mikocheni kwa Wadosi wa Dar. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2440213
Wewe kaa pembeni haya mambo yako juu ya uwezo wakoWewe ambae Ni long-Sighted ngoja tusubirie mtakavyokuwa mnahesabu hasara,mumeanza na mabehewa maana mlikuwa mnatuonyesha nyoka Ila uhalisia Ni mapipa afadhari na ya Kunyaland..