Nenda polepole,Mbeya nick name yake ni green city for a reason,Even arusha Njiro wamepakana na Msitu mkubwa tu ,Kuhusu Arusha na Mbeya UnapotoshaLet's compare you top 5 cities to ours in terms of greenery
Nairobi is greener than Dar
Mombasa is greener than Mwanza
Kisumu is as green as Arusha
Nakuru is greener than Mbeya
Eldoret is greener than Dodoma
Bado unabisha?
I know Mbeya is green, but have you been to Eldoret? Again, Arusha is green but not greener than Nakuru. I would put them on the same scale.Nenda polepole,Mbeya nick name yake ni green city for a reason,Even arusha Njiro wamepakana na Msitu mkubwa tu ,Kuhusu Arusha na Mbeya Unapotosha
Angalia mkeka wake alivyoupanga, naona we umekuja na mkeka tofauti.Point yangu ni kwamba Arusha na Mbeya ziko green na hata vyakula vinavyozalishwa katika mikoa iyo miwili ni vingi sana.I know Mbeya is green, but have you been to Eldoret? Again, Arusha is green but not greener than Nakuru. I would put them on the same scale.
Eldoret
dongo kundu estimated cost $2bKuna mkenya yeyote mwenye Ubongo wa kupangua hii hoja?View attachment 2439589
Wacha umama wewe..Let's compare you top 5 cities to ours in terms of greenery
Nairobi is greener than Dar
Mombasa is greener than Mwanza
Kisumu is as green as Arusha
Nakuru is greener than Mbeya
Eldoret is greener than Dodoma
Bado unabisha?
Wewe hunanga la maana. Uko very unexposed. Kazi yako ni comment za sentensi moja kubisha bila evidence.Wacha umama wewe..
Kuna miradi tunafanya wenyewe na kuna miradi ni loan..same na nyinyi na nchi nyingine yeyote. Ama nyinyi miradi yenu yote mnajifanyia wenyewe?App mnajivunia nn hasa kwani hamkusanyi fedha nyie?mbona miradi yote msaidiwe na wageni?
Weka hizo picha za Greener Kisumu than Chuga then I'll prove you wrongWewe hunanga la maana. Uko very unexposed. Kazi yako ni comment za sentensi moja kubisha bila evidence.
Heheheeeee umejibu kwa maumivu, sasa ngoja nikupe siri tafuta mkenya yoyote najua kwa mazingira unayoishi huwezi pata mkenya aliyewahi kuja Tz, wewe nenda Airpot ukabahatishe mkenya aliyewahi kufika Tz zen muulize hilo swali atakujibu.Hilo swali usiulize mkenya wala mtanzania..., tafuta mgeni kabisa, a nuetral person asie mkenya wala mtanzania ndio utapata objective answer.., swali hilo hapa sana sana kwa boya kama wewe ni blind patriotism itasukuma hisia zako but not reason.., kuna youtube kibao tu za hisia za wageni na experience yao kati ya Kenya na Tz..,
Kwangu mimi Tanzania ni kama Mombasa ama pwani ya Kenya kimaisha.., laid back and relaxed living, not fast paced, with village type living, maisha ya kinyumbani sana na ungwana flani hivi..,
Wakenya wote ndoto yao ni kuja Tz.Pitien hapa
Wewe si bure ni taahira 😂😂😂😂😂Let's compare you top 5 cities to ours in terms of greenery
Nairobi is greener than Dar
Mombasa is greener than Mwanza
Kisumu is as green as Arusha
Nakuru is greener than Mbeya
Eldoret is greener than Dodoma
Bado unabisha?
Iko wapi.Barabara ya chini inatengenezwa
Tuanze na nairobi Nioneshe eneo kama hili DarLet's compare you top 5 cities to ours in terms of greenery
Nairobi is greener than Dar
Mombasa is greener than Mwanza
Kisumu is as green as Arusha
Nakuru is greener than Mbeya
Eldoret is greener than Dodoma
Bado unabisha?
Miradi gani mikubwa mnayotekeleza kwa fedha za ndani?Kuna miradi tunafanya wenyewe na kuna miradi ni loan..same na nyinyi na nchi nyingine yeyote. Ama nyinyi miradi yenu yote mnajifanyia wenyewe?
Alafu hio hoja yake ina kasoro kadhaa, mfano; Konza ni mradi mkubwa, south korea inajenga tu chuo ndani ya konza
Tunaongelea miji wewe unaongelea rural area. Hapo ndio utofauti unakuja. Most of Tanzania rural areas are obviously greener because Tanzania doesn't have lots of arid areas. In Kenya, only a quarter receives addequate rain to keep it green and forested all through the year and 80% of our population is concentrated in that small quarter. The South Western part of Kenya is naturally very green though - as green as anywhere can get. But here we are talking about city planning. You have to realize that no matter how much rainfall you get, you have to have good planning laws to have green cities. That's why West and Central African cities like Lagos, Kinshasa and Accra are not as green East African cities like Nairobi or Arusha yet they receive way more rainfall. Nairobi is also greener than Kampala which recieves way more rainfall simply because Kampala isn't well planned.Angalia mkeka wake alivyoupanga, naona we umekuja na mkeka tofauti.Point yangu ni kwamba Arusha na Mbeya ziko green na hata vyakula vinavyozalishwa katika mikoa iyo miwili ni vingi sana.
Veges zote mnazotafuna hapo NBO zinalimwa Arusha,(zote mnazoagiza Tz to be specific)carrots, green pepper, vitunguu,ndizi nk
Nipe faida za huo ukijani wa Nakuru
Eti leo Kenya iwe greener than Tz, hawa jamaa ni wapumbavu sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kunyaland 99%
View attachment 2439606View attachment 2439607View attachment 2439608View attachment 2439609View attachment 2439610View attachment 2439611View attachment 2439612View attachment 2439613View attachment 2439614View attachment 2439615View attachment 2439616View attachment 2439617View attachment 2439618View attachment 2439619