Nyie mnakelele sana,Mnajiona mnahela sana kumbe hakuna lolotePovu ya nini? swali lilikiua rahisi mbona umekwepa? so na nyinyi GDP yenu ni ngapi? kwa population kiasi gani?.., linganisha na Kenya wachana na Argentina.., mjikubali mlivyo, msijikweze dhidi ya Kenya ama nchi yeyote ile, run your race bila kelele mingi..,
Usiwe kiazi wewe ngosha.
Barabara ya Kibaha ilijengwa chini ya kiwango km 2 alivyoingia Mbarawa akaamuru estim wafumie na kujenga upya huo Ni mda.
Items zimeongezeka za zaidi ya Bil.55 kuelekea Stand ya Magufuli,tayari Hilo linadai mda.
Swala la daraja la JPM sijasikia Wala kuona popote wanaposema litachelewa Kumalizika Kama unavyodai wewe.
Yangu lini sgr ilitekelezwa kwa wakati? Leta takwimu za kipande Cha Dar-Moro.hadi march 2021 tuone Kama haikuwa nyuma ya mda.
Bwawa la Nyerere ndio kabisaa Mkandarasi tuu alikuwa Hana uwezo na lilikuwa linatumika Kama kichaka Cha Sukuma gang kupiga,hata VP mpango alishasema walileta Mkandarasi asiye na uwezo hizo zote Ni kazi za Magufuli na genge lake na Hadi Samia anachukua mradi ulikuwa nyuma ya mda..
Kwa maelezo ya Wizara Bwawa litakamilika mwishoni mwa 2024 na probably 2025 maana kazinya kujaza maji wanaanza mwezi huu huu wa 12..
Mwisho usisahau kwamba mna kesi ya Upigaji ya kuongeza gharama za mradi hapo Kigongo [emoji116]
Usiwahusishe Samia na Mpango kwenye ufisadi wa Mwendazake..Magufuli na Genge lake si ndio hawa kina Samia na Kina Mpango au akili ndio kitu huna.
Hivi tukiongea ukweli Tanzania hamna kelele? 🤣 🤣Nyie mnakelele sana,Mnajiona mnahela sana kumbe hakuna lolote
Yes mmetuzidi na ni kwa uzembe wetu lakini msidhani mko ulimwengu wa wakwanza hamjafika bado.
Kwahyo imefika wakati sasa mkiwaona watz uko kwenu roho zinawauma?mbona nyie mko tz wengi sana na hadi wengine wanabadili uraia hatupigi kelele?
Nimesoma hiyo post nikachoka tu..........alafu considering it was a follow up post on me saying I actually like the way that area of Dar es Salaam looks. Hehehe, yani hawa watu bitterness itawamaliza. 🤣 🤣 Na bado kuna mafala wanalike such a useless post.🤣He wasn't even comparing anything 🤣 🤣 🤣 . You have acute inferiority complex. Ama ni kiingereza ndio balaa.
Wahurumie kaka, labda ni kiingereza ulichotumia hakukielewa. 🤣Nimesoma hiyo post nikachoka tu..........alafu considering it was a follow up post on me saying I actually like the way that area of Dar es Salaam looks. Hehehe, yani hawa watu bitterness itawamaliza. 🤣 🤣 Na bado kuna mafala wanalike such a useless post.🤣
Napenda environment yake alafu jinsi walivyokuza miti is so unlike Tz but hii labda ing'ang'ane na Kenyatta University - hainusi UoN.The most beautiful university in EA 👇View attachment 2437129View attachment 2437130View attachment 2437131View attachment 2437132View attachment 2437133
Don't compare Kenyatta University with rubbish.Napenda environment yake alafu jinsi walivyokuza miti is so unlike Tz but hii labda ing'ang'ane na Kenyatta University - hainusi UoN.
Hehehe, cheki Egerton University. Angalia environment vile imetulia. Majamaa wamezoea kukata miti na kuweka ugly concrete jungle wanaona UDSM haina mpinzani.Don't compare Kenyatta University with rubbish.
Wakenya kwa mbwembwe tuDon't compare Kenyatta University with rubbish.
Huwezi linganisha hii takataka na UDSM any way 🤣🤣🤣Hehehe, cheki Egerton University. Angalia environment vile imetulia. Majamaa wamezoea kukata miti na kuweka ugly concrete jungle wanaona UDSM haina mpinzani.
Nikusaidie kupost University of NAIROBI uone vile haifui dafu kwa UDSM.?Napenda environment yake alafu jinsi walivyokuza miti is so unlike Tz but hii labda ing'ang'ane na Kenyatta University - hainusi UoN.
According to your idiot mind this is the whole of UoN?University of NAIROBI so far 👇View attachment 2437803this tinny shit is just like a part of UDSM.. NairobiWalker.