dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Hawa jamaa (nyang'au) huwa wanatetemeka wakisikia jina la Tanzania.Kwanini wakenya huwa wanaumia sana wanapoona bidhaa ya Tanzania inauzwa Kenya kuliko wanapoona bidhaa ya China, India au USA ikiuzwa Kenya?
View attachment 2433632
Kisumu ni mji wa pili kwa uchafu Kenya na wapili kwa uchafu Africa baada ya ka Nairobi.Doha neatness=Kisumu neatness
my friends..
kumbe Doha ni kama Kisumu exactly kwa usafi..
bass kaa niivo, bass hawa waarabu wamejaribu sana.. kongole kwao[emoji1417][emoji1476]
[emoji1674][emoji1680]
View attachment 2433756View attachment 2433757View attachment 2433758View attachment 2433759View attachment 2433760View attachment 2433761View attachment 2433762View attachment 2433763View attachment 2433765View attachment 2433766View attachment 2433768View attachment 2433769View attachment 2433770View attachment 2433771View attachment 2433773View attachment 2433774View attachment 2433798View attachment 2433799View attachment 2433781View attachment 2433782View attachment 2433783View attachment 2433784View attachment 2433785
Tulia msee that section has been like that for yearsMbona viraka tayari?
Fido dido mkuu? Nimemkumbuka kale ka kichwa kake na vinywele vya kuhesabika kichwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi nilishangaa mwanzoni alivyokuwa karibu na fido dido, yule ni wakukaa nae mbali.
Sio JPM kabadilisha! JPM mpaka kufa alikuwa anataka Isaka-Kigali link!Magufuli aliona mbali sana kuhamisha route ya SGR kutoka DRC via Rwanda to DRC via Burundi
Kwenye mambo kama haya ingetucost mno kufikia soko letu la DRC!
Official states agreement statement 2019Sio JPM kabadilisha! JPM mpaka kufa alikuwa anataka Isaka-Kigali link!
They both reason better than you. High speed rails are fenced.π€£π€£ anareason kama teargas
Nani kakwambia reli yetu haipo fenced.?They both reason better than you. High speed rails are fenced.
Sehemu kubwa wa mchango wako ni maoni, mtazamo na jinsi unavyodhani wewe, hakuna ushahidi Wala uthibitisho wowote.Inashangaza kudhani leo Ukraine ghafla wamekuwa wema kutaka kusaidia waafrika chakula wakati vita ilipoanza waliwazuia wanafunzi wa kiafrika kupanda treni ili kukimbia vita.
Lengo kuu la vita hii (physical and economic) lilikuwa ni kudhoofisha uchumi wa Urusi ili iwe banana republic. Ambapo ingekuwa rahisi Ulaya kuigawa Urusi na kujichukulia rasilimali watakavyo (kama Libya). Hii ni ndoto yao toka zamani. Napoleon pamoja na Hitler walijaribu pia walijaribu kuivamia Urusi lakini walishindwa.
Urusi kupata soko inazuia uchumi wake kutetereka na hivyo kuzuia lengo la Ulaya kuitenga duniani na kuidhoofisha.
Ulaya wameshashindwa hiyo vita. Ukraine inaendelea kumegwa zaidi. Urusi itachukua Odessa, mpaka Transnistria. Na Poland itakuja kuichukua Lyviv, ambayo zamani ilikuwa sehemu ya yake.
Sababu ya vita ni kuisambaratisha Urusi, ili waweze kuitawala dunia. Ukishaitawala Urusi, China haitakuwa na jeuri kiuchumi kwasababu madini yote na nishati za aina zote ziko zilizojaa Siberia zitakuwa chini yao.
Wivu na roho mbaya mkuu, sio lingineKwanini wakenya huwa wanaumia sana wanapoona bidhaa ya Tanzania inauzwa Kenya kuliko wanapoona bidhaa ya China, India au USA ikiuzwa Kenya?
View attachment 2433632
Eti unasema nini kilaza?..,Kisumu ni mji wa pili kwa uchafu Kenya na wapili kwa uchafu Africa baada ya ka Nairobi.View attachment 2433850View attachment 2433851View attachment 2433852View attachment 2433853
A baboon consoling a buffoon baada ya kichapo, how did I miss this, I must have been busy, hadi rahaπππ π π π π π π π π π .., mimi ndio dawa yenu, popote pale nitawalisha ukweli hadi mshibe ili muhare ujinga yote mlio jaza ndani yenu kisha mnyooke.., hakuna huruma kwa matahira, zezeta, miboya na mifukara wa TZ.., I respect a few but not idiots..,Mkuu unapoteza muda wako kubishana na huyo kichaa, unawezaje kulinganisha train ya mkoloni ya mwaka 1890s na BRT ya 21st century, huyo ni taahira mkuu hata hivyo leo nimemtengua-tengua kila mahali so hayupo OK upstairs nimemvuruga πππ
Because KIA is closer to Nairobi than those two. Common sense isn't so common isn't it?
weak brain, equals to slow and clueless mind, output: zero reasoning, uelewa finyu π π π π π π π π πMnajenga cities on what economic base? Au mnagonjea loans za France waje wawajengee railway city? This is beyond pathetic. Only 9% of Kenyans are in permanent employment the rest ate hustlers cannot afford decent accommodation sasa sijui hizo nyumba na majengo yatakuwa occupied na nani. Kenyan real estate sasa hivi imeshuka sana baada ya experts wengi kuondoka.
Wekezeni kwenye vitu vya kulift majority of Kenyans out of abject poverty kwanza hayo ya cities yatakuja yenyewe tuu huko mbele.
Mfano inueni kilimo ili watu wasife na njaa maana mnapoteza nguvu kazi nyingi tuu kwa njaa.
Uchumi wa ka Tatu city kanatoa kamasi Dodoma village..,hamuna ushawishi kwa wawekezaji, itawachukua vizazi kadhaa to have what Tatu is attracting π π π π π π π πJua kali as usual [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
How far is Eldoret from Naipori mpaka useme KIA ndio karibuBecause KIA is closer to Nairobi than those two. Common sense isn't so common isn't it?
Wivu tuu hao nyangauKwanini wakenya huwa wanaumia sana wanapoona bidhaa ya Tanzania inauzwa Kenya kuliko wanapoona bidhaa ya China, India au USA ikiuzwa Kenya?
View attachment 2433632