Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Subiri tuliza pressure hatufanyi vitu kwa kubahatisha sisi.
Mnabahatisha and that's why you been waiting your SGR operation since November 2019. Yani hata serikali yenu haijui reli yenu imefika % ngapi na iraisha lini pia😂😂😂
 
Who told you it's beyond our means? For your information Kenya ijaisahindwa kulipa deni hadi tukadamehewa kama Tanzania [emoji23][emoji23]
Mikopo mliyonayo ni over 100% ya GDP wakati threshold haikutakiwa kufika 50% ya GDP. You guys are living beyond your capacity no wonder you seek loan to shore up your forex reserves [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnabahatisha and that's why you been waiting your SGR operation since November 2019. Yani hata serikali yenu haijui reli yenu imefika % ngapi na iraisha lini pia😂😂😂
Ila we kondoo mnuka Mavi kwa uongo.. kwahyo SGR tuanze kujenga 2017 katika Alaf tusubiri operation 2019 😂😂😂
 
Unaongea as if you have dozens of expressway in Kenya embu uache Ujinga kijana
Umeanza kuhedhi?
We may not have expressways everywhere, but Kenya tuna freeways mahali zinafaa kua in all 4cities unlike nyinyi with misplaced priorities.
Acheni kufukazana na Kenya, huwezi shindana na ndovu kunya
 
Mkuu umetoka kulala au? BRT ni kwa ajili ya kusafrisha watu kwa haraka na hili limetimia sana DSM.Now inachukua 30 minutes from Kimara to City Centre zamani tulitumia masaa Hadi matatu.BRT imepunguza idadi ya magari binafsi mengi.Fikiria upya
Mi naendesha gari langu brt inanisaidia nini?
 
Umeanza kuhedhi?
We may not have expressways everywhere, but Kenya tuna freeways mahali zinafaa kua in all 4cities unlike nyinyi with misplaced priorities.
Acheni kufukazana na Kenya, huwezi shindana na ndovu kunya
Ukihedhi wewe inatosha sana
 
Umeenda angalia mpira bar unawapangia na commentator language. Kama vile upewe lift kwenye gari halafu unaanza piga honi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…