Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata nyinyi si mnsongelea brt na electrified sgr, soon mtaanza kuongelea kuchukua maji lake victoria
Electric trains tulianza kuongelea hats before mfikirie kujenga SGR yenu. The reason why we didn't go for electrification is because we wanted to make sure we hit the universal electrification first then SGR baadaye. We are now at 9M connected customers while nyinyi bado mumekwama kwa 3M.
 
Hawa watu wanaishi dunia yao. Delusions tupu. 🤣 🤣 🤣
And then sijui niseme wako delusional ama ni ujinga tu. Wanaaminishwa ati kuna trains zingine with different exterior na the current drums wameletewa😂😂😂. Ingekuwa those trains are really there ama zinatengenezwa niko sure their leaders wangeshifika in the manufacturing company just to prove to them kuna zingine bado zinatengenezwa. If you can remember clearly the current coaches tulianza kuona last year and they all disputed that hizi ni za MGR.
 
Tofauti yao na sisi, we can read through our politicians bullshit. Tulijua tumeenjoiwa tukakubali ila tukaappreciate hizo trains hata kama sio vile tulitaka zinaserve purpose. Wao wako convinced wako na the best rail and trains in Africa wakati ni trains za kawaida tu. Yani Morocco wana kitu kama hii halafu wao wanasema hizo mitungi zao ndio best. 🤣 🤣 🤣

 
Alafu hii ya Morocco inachapa 320KM/H. Yao hata sidhani kama itafika 60km/, actually both Tanzania and Ethiopia are just one thing. Ya Ethiopia currently is doing averagely 50km/h because of low elevation just like ya Tanzania.
 
Alafu hii ya Morocco inachapa 320KM/H. Yao hata sidhani kama itafika 60km/, actually both Tanzania and Ethiopia are just one thing. Ya Ethiopia currently is doing averagely 50km/h because of low elevation just like ya Tanzania.
Kuna wakati niwaambia yao ni kama ya Ethiopia at best kawaida wakapinga. 🤣
 
To make the matters worse 3/4 of their exports earnings are banked by Kenyans, Europeans, Indians, Chinese and Americans in their respective countries. Gold export alone is more than $3B.
What kind of exports Kenyans are doing from Tanzania?
 
Kuna la kujifunza hapa.. biashara zinahitaji mitaji, na mitaji bila kukopa (kutop up) ni ngumu sana. Hata matajiri wanakopa.. kama una wazo la biashara, jaribu kukopa biashara ianze kazi. Tusiogope
Ni kweli, hakuna uchumi bila mikopo, mikopo inaweza kuleta mapinduzi makubwa kiuchumi ikitumika ipasavyo na ikiwa kwenye mikono na akili salama, mfano mzuri ni deni la Kenya versus vitu kwa ground na deni la Tanzania versus vitu kwa ground!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…