chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Nioneshe third class cabin Kenya yenye,
Hivi unajua maana ya green city kweli?World Bank imekua ikipeana pesa za Urban Support program in SSA. You are just late for the party. Nairobi is the only green city under the sun in the world. Dar mtafute tagline yenu kama City ya Chips Mayai.
Unajua maana ya tagline kweli?Hivi unajua maana ya green city kweli?
ππππNioneshe third class cabin Kenya yenye,
USB ports,
UK sockets,
full cabin AC,
TV,
CCTV cameras,
Wi-Fi,
armrests,
Legrest,
overlap tables,
non facing each other seatplan
Personal seat design
Documents closet
Waite na wenzio wakusaidie
Njaa bwanaaπ€£π€£
Mkuu sketch ya daraja jipya bado haijakamilika, halitakua na muonekano huu, nikuhakikishie litakua na design moja iconic mno trust me!
Mkuu sketch ya daraja jipya bado haijakamilika, halitakua na muonekano huu, nikuhakikishie litakua na design moja iconic mno trust me!
Yeah wanasema Terminal 3 yao inakaribia kufikia capacity expectedKumekucha
Hii ni Branch ya Chuo gani bro ?