Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mavi kidogo sasa? Dunia nzima inajua hawa watu ni hopeless ila wanapenda kujitutumua ili waonekane wa maana lakini bure kabisa.
 
Amka usikojoe kitandani ukiota.
Nikumbushe emus zikiingia
 
Kaumia huyo mkuu electric train ataisikia tuu na kuiona kwenye TV na movies.
Kama venye wadanganyika mnaonea elevated expressway kwa TV pia. At least sisi bado sgr kuna option ya electrification
 
Kawaida sana yani..

Izo locos za Tanzania ni daraja la tatu, zinakuja kwa awamu, zitakapokuja daraja la pili na la kwanza tutacompare zaidi
Kichwa cha kuvuta mnaletewa second hand refurbished mzee kama mabehewa
[emoji23][emoji23]
 
Kichwa cha kuvuta mnaletewa second hand refurbished mzee kama mabehewa
[emoji23][emoji23]
Unaushahidi?sahivi umehamia kwenye kichwa sio? Mtanyamaza kimya, fanya utupostie expressway Maana ndio k2 pekee mnajivunia kwa sasa [emoji40]...

Haya mambo ya train za kisasa Hamjui chochote...Mmezoea mitumba uko kwenu
 
Amka usikojoe kitandani ukiota.
Nikumbushe emus zikiingia
Tanzania ndiyo nchi yenye uchumi mkubwa usio shaka hapa EA, tumenunua ndege mpya kwa wakati mmoja cz uwezo huo tunao, wewe na kichwa chako kidogodogo icho unadhani tutashindwa kununua EMUs? Yn tujenge infrastructures za kupitisha EMUs kwa mabilioni ya dollars zen tushindwe kununua EMUs ambazo hazifiki hata theluthi ya gharama za infrastructures za kupitisha EMUs? Unaakili kweli wewe?

Sisi ni taifa lenye akili zaidi ukanda huu nadhani mmeshaona akili zetu zilivyo kubwa, now tunaleta EMU za kwanza na za mwisho hapa EA cz hakuna nchi ya EA itakuwa na EMU kwa miaka 2000 ijayo. Mjiandae kuja kupanda EMU mtake msitake.
 
Kama venye wadanganyika mnaonea elevated expressway kwa TV pia. At least sisi bado sgr kuna option ya electrification
Kama hujui nikupe habari tuu kuwa expressway ya Tanzania inaanza early next year from Dar to Morogoro 200km in length
 
yaani, nimecheka yangu yote ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†


eti, watanganyika wanashindwa wataambia nini tena wakenya, na ilhali hapo awali waliwaambia .!?? "eti locomotive ๐Ÿš‚ itakua ni bullet train"..

now most Tzs are even preferring second hand japanese bullet locomotives, than this so called new 'Turkish Bullcrap'๐Ÿคฎ

 
Hata wao wanajua mutusi waluyotuporomoshea halafa walichopata hakina tofauti na chetu.๐Ÿคฃ
 
Hata wao wanajua mutusi waluyotuporomoshea halafa walichopata hakina tofauti na chetu.๐Ÿคฃ
.....wakenya wakigundua hii..
nayo, ile kicheko itaanguliwa hapa.!
acha tu!. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

...walai hapa waTz mlichezwo...
yani, mlipigwa bafu chafu!

.....na baadooooo............ ๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ