chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Shacks 6000 zinaongezwa kwenye ratio kunako kunyaland just imagine, vingekua ni vitu vya maana China wenyewe wangevichukua lakini sababu ni recycled waste hamna mwenye interest navyo na huenda Kenya ndio ilipeleka maombi ya mgao ๐๐๐Somalia nao wapo mbioni kusafirisha msaada kwa jirani yao Kenya.
Super power anayesaidiwa basic things.Kenya inapokea humanitarian donation kila pembe ya ulimwengu, juzi Ukraine wameipa ngano [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuchora na kutengeneza no vitu viwili tofauti. Hats Mimi naezachora ndege na hiyo haimanishi kwamba naezatengeneza ndege as well.
Kwanza inatembea inafuka Moshi kama kuni mbichi..
View attachment 2427064
Sio lazima upinge Kila kitu. Your SGR was designed to do a maximum of 1.1M in a year. Again the 2km you talking about is the passing loop and not length of the train.1. Reli ya axle load 35T against 25T
2. Cargo speed 120kph against 80kph
3. Train length of 2km against 1km
5. Siding rail 50% against 25%
Hata chizi atakuambia reli gani itabeba mzigo mwingi na abiria wengi zaidi.
Ingekuwa hivo basi almost Kila country ingekuwa inaproduce their own chips? Ebu tuonyeshe made in Tanzania chips.My understanding is Circuit ukidesign na ukishaichora umemaliza mzee, .. hapo itโs like printing out something youโve worked out in your computer.
Watu wa ICT na Electronics can teach you these simple things..
Nipe cover ya hii report, Huwezi kuwa unaweka tu attachment humu bila kutaja author wa hiyo article nimeona footnotes kuna ARDHI na ERM hao ni nani kwenye report na report inahusu nini?Sio lazima upinge Kila kitu. Your SGR was designed to do a maximum of 1.1M in a year. Again the 2km you talking about is the passing loop and not length of the train.
View attachment 2427276
Hiki nini Yarabbi? ๐๐๐๐
This time round I'll feed you everything hadi mkojo. Here's the cover page of that report.Nipe cover ya hii report, Huwezi kuwa unaweka tu attachment humu bila kutaja author wa hiyo article nimeona footnotes kuna ARDHI na ERM hao ni nani kwenye report na report inahusu nini?
Key valid specifics za SGR yetu versus the rest of Africa's hizi hapa!
View attachment 2427291
So the research report targeted Dar - Makutupora line only among the rest of 1500 kilometers Dar - Mwanza line, thank you!This time round I'll feed you everything hadi mkojo. Here's the cover page of that report.
View attachment 2427297View attachment 2427298
Ungenyamaza hatungejua wewe ni mjinga hivi. Feasibility study hufanywa in phases just like construction. Mngeamua kufanya the entire project as one phase basi final feasibility study ingekuwa moja pia. Kenya also have two feasibility study reports; Mombasa - Nairobi and Nairobi - Naivasha.So the research report targeted Dar - Makutupora line only among the rest of 1500 kilometers line Dar - Mwanza, thank you!
Mzee number of the passengers scoped to use the line are commuters for Dar to Makutupora alone, the part research findings have been obtained huwezi kutumia hizo findings to judge the whole 2000+ kilometers project! Eat that!Ungenyamaza hatungejua wewe ni mjinga hivi. Feasibility study hufanywa in phases just like construction. Mngeamua kufanya the entire project as one phase basi final feasibility study ingekuwa moja pia. Kenya also have two feasibility study reports; Mombasa - Nairobi and Nairobi - Naivasha.
Nairobi -Mombasa is doing 3M, that's three times what your SGR is capable of doing.Mzee number of the passengers scoped to use the line are commuters for Dar to Makutupora alone, the part research findings have been obtained huwezi kutumia hizo findings to judge the whole 2000+ kilometers project! Eat that!
Numbers of passengers are described by the number of trains plying the line and not railway capacity! If we find there's a need to cope with passengers flux it's the matter of adding more coaches! Simple!Nairobi -Mombasa is doing 3M, that's three times what your SGR is capable of doing.
You must be a fool kama unaexpect train zingine isipokua zenye mmeletewa saa hizi. Ungekua unajiuliza how vaible is it for tanzania goverment to bring in different types of train to the same incomplete railway line? Maintainance na operation ya train sio kama private car kama venye mnavyodhania na low IQ zenu.Kawaida sana yani..
Izo locos za Tanzania ni daraja la tatu, zinakuja kwa awamu, zitakapokuja daraja la pili na la kwanza tutacompare zaidi