Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Ikienda Scotland na kurudi si 1000km, ikifanya safari tatu ni 1500km,Virgin safari ndefu ni Scotland tuu na hapo ni less than 500km hiyo bado ni short haul. Dar Kigoma ni 1600km hiyo ni long haul ili upate faida inabidi uwe na train ndefu kuliko EMU inayobeba abiria wengi na hapa ndio loco pulled trains inapohitajika na ndio dhumuni la kuingiza hizo behewa unazoona zinashushwa port.
Kaka tatizo sio treni ndefu, tatizo ni muenekano, mimi sina shida na hizo treni so long as zinapiga mzigo na ndani zinaonekana ziko comfortable Poa tu.Virgin safari ndefu ni Scotland tuu na hapo ni less than 500km hiyo bado ni short haul. Dar Kigoma ni 1600km hiyo ni long haul ili upate faida inabidi uwe na train ndefu kuliko EMU inayobeba abiria wengi na hapa ndio loco pulled trains inapohitajika na ndio dhumuni la kuingiza hizo behewa unazoona zinashushwa port.
Ooooooh bwana joto la jiwe, badili kwanza simu! kwani naona na wewe una angukia lile lile kundi la wa Tanganyika linalotamalaki kwa sasa, ambalo ni kundi la wajinga lakini linajifanya ni kundi la werevu. Penda sana kusikiliza kuliko kubwatuka, hakika 'response' zako zinaonesha wewe huwa na chuki sana na watu wanaopiga hatua, unaowapamabania (mabwanyenye wa mfumo) wana maisha mazuri kuliko yako hivyo hawatumii Itel.Mkuu, lilé" file" lako Kule Mirembe mental Hospital lilifungwa?[emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sijui tulifeli wapi viwanda vyote vimekufa hvi
What's SGR?
Kawaida sana yani..
Naona unamjibu mkenya mwenzio using different I'd.Anything can happen though it will takes time
Huwa unapenda comment ya kukuliwaza kama hiyo, punga wewe.True
Even this one [emoji116][emoji116]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Teh[emoji28]
View attachment 2426934
Duh aiseee.Kwanza inatembea inafuka Moshi kama kuni mbichi..
View attachment 2427064
Au siyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The best SGR in East Africa. The longest SGR trains in East Africa. One Kenyan train is doing 1,440 in one way trip.
View attachment 2427086
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hii mbona kama inachonga Barabara [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana nilikuwa najiuliza huyu mwamba anaendeleaje, pole sana mkuu.Asanteni sana wakuu kwa salamu zenu za pole nimezipokea kwa moyo mkunjufu, thank you so much God bless you all!
Mkuu nimeuliza tu, sikuwa na Nia mbaya. Mazungumzo yako tu yanaonyesha kwamba Kuna shida kidogo kichwani[emoji13][emoji13]Ooooooh bwana joto la jiwe, badili kwanza simu! kwani naona na wewe una angukia lile lile kundi la wa Tanganyika linalotamalaki kwa sasa, ambalo ni kundi la wajinga lakini linajifanya ni kundi la werevu. Penda sana kusikiliza kuliko kubwatuka, hakika 'response' zako zinaonesha wewe huwa na chuki sana na watu wanaopiga hatua, unaowapamabania (mabwanyenye wa mfumo) wana maisha mazuri kuliko yako hivyo hawatumii Itel.
Na mimi nimekutaka tu ubadili simu, reply zako huonesha uko na matatizo niliyoyagusia.....................🙂🙂Mkuu nimeuliza tu, sikuwa na Nia mbaya. Mazungumzo yako tu yanaonyesha kwamba Kuna shida kidogo kichwani[emoji13][emoji13]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
🙏🤝🤝🙏[emoji1666][emoji1666][emoji1666]