Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeme kila Shule,Nchi inakimbia na SSH anazidi kuupiga mwingi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221118-125437.png
    Screenshot_20221118-125437.png
    148.6 KB · Views: 12
Wazee wa GDP huwezi kuwakuta kwenye inclusive economy Kama Tanzania 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221118-133032.png
    Screenshot_20221118-133032.png
    142.9 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221115-144259.png
    Screenshot_20221115-144259.png
    148 KB · Views: 14
Tuna roho safi ndio maana hawasumbuliwi, hatuna roho chafu za chuki na wivu kama mlivyo nyinyi, yaani watu wa kinyongo na masengenyo ata wenyewe kwa wenyewe., nawajua vizuri sana..,
Najua clip haukuangalia, ukweli najua ni mchungu kumeza kwa Mtanzania ila ndio hivyo., zoea mko hovyo..,
Tungekuwa na roho chafu tusingewapeni chakula miaka nenda miaka rudi, babu yako alilishwa na watz, baba yako akalishwa na watanzania na wewe mpk leo bado unalishwa na watanzania, inakuwaje uwaite watz wana chuki na Wakenya?

Eti watz ni watu wa masengenyo hata wenyewe kwa wenyewe, ingekuwa ni hivyo leo hii Tz kungekuwa na ukabila kama huko kwenu lkn pia kungekuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kama huko kwenu mana hayo yote yanasababishwa na chuki, roho mbaya pamoja na masengenyo kama mlivyo nyinyi. Msifosi tufanane kisa nyie ni washenzi basi na sisi tuwe washenzi kama nyinyi.
 
You cant feed yourselves and yet you are here yapping about 15bn dollars city! You guys never fail to amaze.
People sleep hungry even in the world's biggest economy. That doesn't mean we stop economic progress.
 
People sleep hungry even in the world's biggest economy. That doesn't mean we stop economic progress.
look at here..🤔🤔
even south africans are queuing for food aid from well wishers due to drought tht tend to hit this country, oftenly from time to time..
it has even become more rampant in the recent years..

nb:
infact southafrica is even dryer than kenya🇰🇪..
if u were not ware..🤔



pretoria, gauteng, south africa👇🏽👇🏽
Screenshot_20221119-120506_Photos.jpg
Screenshot_20221119-120442_Photos.jpg
unnamed (11).jpg
Screenshot_20221108-153840_Chrome.jpg








south africa is even drier than kenya..
if u didn't knw tht, atleast now u knw..

see for yourself 👇🏽👇🏽
Screenshot_20221119-122341_Gallery.jpg
 
look at here..
even south africans are queuing up for food aid from well wishers due to drought tht tend to hit that country, oftenly from time to time..
it has even become more rampant in the recent years..

nb:
infact southafrica is even dryer than kenya..
if u were not ware..



pretoria, gauteng, south africa
View attachment 2420852View attachment 2420853View attachment 2420848View attachment 2420850







south africa is even drier than kenya..
if u didn't knw tht, atleast now u knw..

see for yourself
View attachment 2420872
Acheni kujifariji kwa kujilinganisha na mataifa mengine, hunger has been a perennial problem in Kenya since independence.
 
Back
Top Bottom