Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hicho ulocholeta ni muendelezo wa tafti uchwara za viongozi wetu...hawataki ushauri wa wataalamu...wao ni siasa...

Mainginia, marubani wote wanakubali kuwa kiwanja ni hatarishi..na wakigoma wanagukizwa urubani...ndo hayo mpaka ajali zinatokea kwa sababu ya kuingiza siasa kwenye kila kitu....

Uwanja wa Bukoba ni hatarishi...watafute sehemu nyingine wajenge uwaja mpya na unaokidhi viwango vya kimataifaView attachment 2419927
Ume-quote mwanasheria badala ya rubani na mhandisi!
 
Hicho ulocholeta ni muendelezo wa tafti uchwara za viongozi wetu...hawataki ushauri wa wataalamu...wao ni siasa...

Mainginia, marubani wote wanakubali kuwa kiwanja ni hatarishi..na wakigoma wanagukizwa urubani...ndo hayo mpaka ajali zinatokea kwa sababu ya kuingiza siasa kwenye kila kitu....

Uwanja wa Bukoba ni hatarishi...watafute sehemu nyingine wajenge uwaja mpya na unaokidhi viwango vya kimataifaView attachment 2419927
Uwanja wa mataifa kwa abiria wepi hao? Amka ndotoni ndugu mwaka wa tisa mmeshindwa kuwa na direct daily flights mnaunganishwa na Mwanza! Hata uliopo ulipaswa kuwa Kigoma!
 
🤣 Kumbe nyie jamaa ni kondoo, hakuna kitu mmetutangulia nyie, na hii miradi ya PPP sisi ndio tulianza kufanya pia.. 2015 tuliwaonyesha njia.. mko nyuma yetu kwa miaka 7 .. tumekua tukitumia hizo gates za kulipia way back hata kabla mufkirie. 👇View attachment 2419834View attachment 2419835View attachment 2419836View attachment 2419837.. dopchinski njoo hapa we kondoo
Picha ya zamani ya Nyali bridge.., it was opened in 1980 and it was PPP.., mko nyuma yetu mnafuata nyayo.., sasa wewe ni both Kondoo na Mbuzi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1668749520230.png

1668749784574.png

Kshs 4/- 1980.., kabla ata sijazaliwa, baba zetu na mababu walikua wanalipia Nyali Bridge..,
1668749662735.png
 
Nilidhani hapa ni South Korea ama China, vile Chinese walikua wanajenga Thika Superhighway mbwa wengi walipotea kama unakumbuka hizo fununu .., in Seoul South Korea hii ni msosi unaopendwa sana!
View attachment 2419978
Kwahiyo hutaki kwamba Tz hakuna njaa? Hao mbwa kuna makabila yanasemekana yanakula mfano Wahehe na wala haihusiani na njaa, usifosi tufanane na kamwe hatuwezi kuwa wazembe na wapumbavu kama Wakenya kwamba karne ya 21 bado wanaimba nyimbo za njaa, but again, tafuta ukipata sehemu kdf iliwahi kushinda vita yoyote ile niite mm mbwa usipotaja mbwa ni wewe nimekaa paleee
 
Nilidhani hapa ni South Korea ama China, vile Chinese walikua wanajenga Thika Superhighway mbwa wengi walipotea kama unakumbuka hizo fununu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., in Seoul South Korea hii ni msosi unaopendwa sana!
View attachment 2419978
😂😂😂 hapana hapa ni Danganyika land inchi ya asali na maziwa
 
Source KENYANS.co.ke alafu kuna mbwa zime like
Ujinga mzigo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 usizoee kukurupuka kwa mambo ambayo hauyaelewi, mimi nitaendelea kuwaumbua hadi chooni., MBWA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
yaani ata Mozambique wanapata Starlink na nyie washamba mnaachwa, naona zezeta mwenzako amecheka eti, poleni kwa kukosa maarifa na uelewa, miboya kabisa😂😂😂😂
1668750805110.png

1668750905327.png

1668751035615.png
 
Kwahiyo hutaki kwamba Tz hakuna njaa? Hao mbwa kuna makabila yanasemekana yanakula mfano Wahehe na wala haihusiani na njaa, usifosi tufanane na kamwe hatuwezi kuwa wazembe na wapumbavu kama Wakenya kwamba karne ya 21 bado wanaimba nyimbo za njaa, but again, tafuta ukipata sehemu kdf iliwahi kushinda vita yoyote ile niite mm mbwa usipotaja mbwa ni wewe nimekaa paleee
Unajibu nani hapa? nenda ukule mwenzako👇 wewe mbwa, umechanganyikiwa asubuhi., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1668751132789.png
 
Hicho ulocholeta ni muendelezo wa tafti uchwara za viongozi wetu...hawataki ushauri wa wataalamu...wao ni siasa...

Mainginia, marubani wote wanakubali kuwa kiwanja ni hatarishi..na wakigoma wanagukizwa urubani...ndo hayo mpaka ajali zinatokea kwa sababu ya kuingiza siasa kwenye kila kitu....

Uwanja wa Bukoba ni hatarishi...watafute sehemu nyingine wajenge uwaja mpya na unaokidhi viwango vya kimataifaView attachment 2419927
Uwanja kuwa karibu na bahari ama ziwa sio issur Bukoba inahitaji runway extension , navigational aids nk. Duniani viko viwanja vingi sana pembeni ya lakes na bahari.
 
Uwanja uko karibu sio shida...tatizo ni hiki kisiwa kilicho kama mlima....mahali ndege zinapotua na kupaa...zinapita juu ya hiki kisiwa kinachokuwa kama obstacle...

Bila shaka umeelewa point...
images%20(1)%20(3).jpg
images%20(1)%20(4).jpg
 
Uwanja kuwa karibu na bahari ama ziwa sio issur Bukoba inahitaji runway extension , navigational aids nk. Duniani viko viwanja vingi sana pembeni ya lakes na bahari.
Bukoba airport utaiextend kuelekea wap wakati kila mahali kumezungukwa na milima na makazi ya watu..

Hio cost si bora wajenge uwanja mpya eneo lililo salama
images%20(1)%20(6).jpg
images%20(1)%20(5).jpg
 
Back
Top Bottom