Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Ujinga ni laana, do u know how much income $1.7B makes? yaani nyie ni mazezeta kweli, inawauma kuona Kenya iko juu yenu kibiashara, unajiliwaza kwa kujitoa ufahamuπππππππ, haya nitajie nchi moja tu yenye Tanzania imewekeza ata nusu ya $1.7B? na ukumbuke Kenya haijawekeza Tanzania pekee, tuko nchi zote za EAC and beyond, our value na pato ni kubwa sana ukijumuisha(inachangia kwenye GDP), nyie ni mafukara, watumwa na vijakazi nchini kwenu na huku nje pia, yaani kazi ni omba omba na hawkersπππππππππKuna muda unafikiria hizi ni kampuni kweli ? yaani 500 companies zimewekeza $1b ?
so ukipata Tanzania imewekeza nchi moja tu nusu ya $1.7B nitag tafadhali., kwa sasa hiyo $1.7B(ni dollars sio pesa ya madafu usijitie hamnazo) ime produce revenue zaidi ya $2B na kuendelea, na value ya hizo kampuni inapanda kila mwaka, mfano in Tanzania check KCB performance 2022! π π π π π
Tanzania inafanya nini ya value EAC? ama ni kuuza juice za Azam?ππππππππππ size yenu ni Malawi, Zambia, Mozambique.., Kenya sio league yenyu, tupe heshima tafadhali, mko way below!!..,
Tunachangamkia fursa, sio uzembe na kuzubaa vijiweni kama mibongolala π π π π π π

