Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I once told him to go and borrow a functioning brain from a nearby mental school, sijui kama alienda.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mazezeta ni wengi!
 
Kwa hapa East and Central Africa hakuna mbabe zaidi ya Tanzania linapokuja suala la thamani ya miradi inayofanyika, kwa takwimu ni kwamba ukijumlisha thamani ya miradi inayofanyika Uganga, Kenya, Rwanda, Burundi na South Sudan haifikii thamani ya miradi inayofanyika Tanzania hata ulie hamuwezi kutupata kwenye sekta hiyo hata mroge [emoji116][emoji116]
 
Naiona greenery [emoji106][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naiona greenery [emoji106][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha. Ata wakipanda miti ipe 20 years ifanane na a real State House.
Government should not have shortage of green land. Sijui mbona walichagua jangwa.

Machakos Governor's office any day.

Dodoma


Machakos


 
Kwamba Dodoma ni jangwa kuliko Dubai, kwnn Wakenya mnakosa plan B kabisa kwenye fikra zenu? Ndio maana mpk leo mnalalamika ukame kiasi kwamba mnapewa msaada wa chakula na nchi zenye jangwa kuliko nchi zote duniani, Dubai hii hapa [emoji116][emoji116]
 
Nimekwambia kwa hapa Africa Tanzania ndiyo the biggest source of remittance for Kenyans, accept that zen move on.
Mtakosaje kuwa the biggest source of remittance for Kenya when there are 500 plus Kenyan companies that employs those Kenyans who bring back money home. Uoni hata akili ya reasoning hauna?
 
Don't even talk about architects cause hiyo Statehouse was 100% copied from the white architect who designed Dar is slum statehouse in the 19th Century.
 
Mtakosaje kuwa the biggest source of remittance for Kenya when there are 500 plus companies that employs those Kenyans who bring back money home. Uoni hata akili ya reasoning hauna?
Kampuni 500 ambazo zimewekeza only $1 bn ndio ziajiri Wakenya wengi kiasi cha Tanzania kuizidi SA kwa nchi zinazowapa Wakenya remittance? Na kwenye hiyo _$1 bn ondoa benki ya KCB ambayo imewekeza karibu nusu ya hyo pesa, so hiyo inayobakia ndiyo hizo kampuni nyingine zinagawana, sasa utaita hzo kampuni au uchafu?

Wakenya wengi wameajiriwa hapa Tanzania kama walimu na asilimia kubwa wanatundisha kindergarten usitake kujifanya hujui hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania remittance to Kenya is only $39M. Hata huna aibu kujigamba kuhusu $39M. That's not even 1.1% of what Kenya gets from remittance πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania remittance to Kenya is only $39M. Hata huna aibu kujigamba kuhusu $39M. That's not even 1.1% of what Kenya gets from remittance [emoji23][emoji23]
Pesa ya miezi mitatu ndio unaweka hapa, leta ushahidi kwamba mnapokea kiasi hicho from Tz ili niondoke jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwamba SGR ni km chache, niambie nchi moja duniani inayojenga electricfied railway ya km 1800, unafikiri tunajenga reli inayoishia Suswa sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…