Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua posh in Mombasa kweli kilaza? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hizi ndio size ya uswazi zenu, mitaa ya raiya, posh in Mombasa ni akina Nyali, Kizingo, Tudor, etc.., sio Bamburi na Kiembeni., narudia jua Kenya na uzoee mapema, naona umepotea, Dar bado.., jivunie BRT, SGR ya umeme na CBD moja.., mengine fyata.,
Eastlands ya Mombasa..,

 
mabanda ya kuku ayo toa apo
 
mabanda ya kuku ayo toa apo
Mitaa ya Dar ya kufananisha na hiyo iko kweli? mitaa ya kawaida? ni uswazi tupu.., Mombasa imeilambisha Dar sakafu kwa mengi tu.., Tanzania nchi ya jiji moja na CBD moja.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Akili yako ikapimwe
 
Soko la Eastleigh lingekua ndani ya Dar hapa pangetajwa kama city centre, yaani town..,ama CBD, hapa Kenya haijafika kuitwa CBD.., ni estate na soko tu..,







Mall kubwa inaelekea kukamilika in Eastleigh..,, Tanzania yote na East Africa hakuna such level.., kando na Two-Rivers.,

 
🀣🀣 Hii mbona hata kwa Moshi town inakalishwa vibaya mno
Kajiliwaza, ilibidi ujibu tu ilimradi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…