Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Show me majengo makubwa mmezika hela za wastaafu ambayo yamejaa wapangaji. Kuna vitu kama una akili vinakuwa liabilities na sio kitu ya kusiaidia uchumi au kuwapa watu furaha.
 
Kitu gn kimekufanya uje na ID mpya? Si ungekuja na Id ile ile unaogopa nn sasa mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha ujinga wewe?wakemya wapo zenj wanafanya kazi hamuwezi. Na umri gani nyie machalii.mnataka danganya kuwa ndioabalozi wa bongo?
Fala wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kitu gn kimekufanya uje na ID mpya? Si ungekuja na Id ile ile unaogopa nn sasa mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa jinsi ulivyo kichwa it's obvious unalo jibu. Kila mahali upuuzi wa kijamaa unashindwa. Mantaka teka narrations ili nyie ndio muongea mambo ya watu wa niaba yao. Ni mambo ya wajamaaa na watu wa mashariki ya Kati.


Huwa mnataka kuteka kila kitu na kuelezwa. Nyie. Nikipata hasira sana kabudi kumwambia wakenya Wana ukabila. Akijaribu kujifanya master wa kutatua ukabila.


Soma hapa JF jinsi habari za ukabila zimejaaa. Makabila mengine yanasakamwa balaa.



Ukisiloa wachambizi wa kijamaa Dar na umaskini WA nchi Yao wanataka toa narrations za capitalism kwa niaba ya marekani. Unajua mna vichaa watz.


Nchi raia wake mmoja analipa budget yenu cash zaidi ya miaka kumi. Wakati tangu Uhuru serikali yenu haijawahi kufinance hata half ya budget.mnataka kujifanya mnaweza ota what is capitalism?
 
Hahaha wewe tuliaa... Wenzako Walikuja hivyo hivyo Sasa wamekimbia baada ya kujua ukweli..

Uzi ulikuwa wa moto huu punch afta punch ila saiv wote wametoka mbio baada ya kujua ukwelii
 
Sasa unabisha?
Do you even know what are you going to achiev in this shit?

Wakenya wanaingia hotels zao,zenu na nyingine duniani. Wanasafiri duniani kwa.vile wanaweza.


Nyie mkaehesabu makabila na kujipa sifa za kujiramganya. Muulize shetani mkubwa Putin. The idiot is now exposed. Alidhani alipiga mkwara wenzie hawajui kuwa Hana kitu. Walikuwa wakimlia timing iwe mwisho wa kutaka bure duniani.


Hata nyie way nyumbani mnakwapua wapi na kuzuia makabila mengine yasiendelee. Halafu mnataka sifa kwa vitu hamuwezi afford.


Ongeeni mambo ya maana. Jifunzeni kuongea dili na sio kulishwa ego.
 
Hahaha wewe tuliaa... Wenzako Walikuja hivyo hivyo Sasa wamekimbia baada ya kujua ukweli..

Uzi ulikuwa wa moto huu punch afta punch ila saiv wote wametoka mbio baada ya kujua ukwelii
Blah blah kama kawaida. Watz ni wenzangu ila mnachosha.


Mmeambia wenzangu wakenya Wana bank ngapi? Ndege za limataifa.na ndani ya Tz,viwanda vya mbolea,mbegu vifaa vya kilimo na mambo mengi?


Rais wenu alibadili currencies katik hotuba yenu kumask investments za watz mbel ya za wakenya. Akasema zetu katika shillings na za Kenya katika dollar.



Hayo mambo hukusikia wala kufikiri kanjanja wewe.


Nairobi nimeenda haipo spread kama Dar Dar. Ila hilo sio muhimu. Maghorofa yapo na yapo full maana yake walijenha kwa mipango.
 
Wabongo wapuuzi kweli kweli. Tabia za kusifia wezi. Wamejenga majengo ya kizushi wakaleta watu wa kuwasaidia kuhamisha pesa. Mnabaki na majengo yanakula hela nyingi kutunza kuliko wastaafu wenu.


Hizo ni Tania za waswahili wapo Dar na wanaishi Dar Ila ni washamba wa vitu kuliko watu wa mikoani.
 
Pita huku!

 
Kuna nini? Unajua kwanini nataka fundisha watz kufikiri ? Pengine pia kuna wakenya kama watz NAO pia wataelimika.


Haya mahoteli yanajengwa kimkakati. Mengine wejenga watu wa. Je ya Kenya na Tanzania. Huwezi ringia hotel kajenga Mkenya Tanzania au vise versa.


Otherwise tusishangae Simba ,nyumba na wengine wakiringia hotels za wasouth Africa and beyond na wengine kule porini.


Hotel nyingine Tanzania na Zenj hazina tofauti na za porimi kwa wanyama. Hamuwezi afford na hamzitumii.
 
Poleee...

Nimepata ujumbe katikati ya maandisho yako haya...

Tatizo lako Hilo huwezi kupona. Ni mpaka wewe mwenyewe uamue, ukubali na uchukue hatua.. Otherwise Uta endelea kuteseka na kuumia sana
 
Poleee...

Nimepata ujumbe katikati ya maandisho yako haya...

Tatizo lako Hilo huwezi kupona. Ni mpaka wewe mwenyewe uamue, ukubali na uchukue hatua.. Otherwise Uta endelea kuteseka na kuumia sana
Ad hominem. Umeanza ubabaishaji na kushambulia watu kuingia vionja.


Ndio maana wakenya hawatali kuongea na nyie. You are too stupid intact . Yaani hata watz wenye akili huwa wanazimika na kuachana na nyie.


Hamjafundishwa kufikiri sana kuna mwenye fikra sahihi ndie pekee atafikiri kwa niaba yenu. Kawaida kufikiri ni kugumu sana. Mumuunge mkono.



Kufikiri ndio kuwa hai....
 
In fact mngeanzisha threads za kuuliza how the other handles certain challenges in certain areas.

How do they fight to improve lives and human freedom.


Wakenya Wana wajasiriamali wengi tuu na viwanda vidogovidogo mngeweza kubadilshama mawazo. Sio kuanzisha fights ambazo mnaweza loose in millions of ways.

Hayo matakataka ni for the naive.
 
Wewe ni kenge wa wapi? 😂😂
 
Wewe ni kenge wa wapi? 😂😂
Wa mikoani. Tukijua Dar tunawaita kwa speed kama mmekufa vile.

Usijidanganye kuwa unaweza kufanya mjuaji. You cant hijack narrations here. Just bring you fussy and we we will deal with you.


How many buildings do you own? Unaweza kutuambia jengo moja linaingoa dollar km dollar sio equivalent amount? Sh za watz mmepeleka nje ili kujenga?


Wnaishi kama wake zaabeberu. Ndio wanawapa dollar kila mara mkanunue vyakula ,mafuta na kila kitu. Bado mnajifanya kuita watu vibaraka. Inayoonyesha jinsi mlivyo wajinga.
 
Kama Dege eco village inaonekana kuwa mbali na mji utaenda wapi kujenga City chalinze au
 
Kama Dege eco village inaonekana kuwa mbali na mji utaenda wapi kujenga City chalinze au
Ujenzi wa nyumba ni scam na nkia ya kitakatisha pesa pia kuhamisha pesa.

China wanashida ya kiuchumi kwa sababu ya haya mataka taka.


South Africa kuna viwanda vimejengwa ktk Miji kama chato vina madeni na riba. Hakuna michezo ya maana ya kujaza watu tena baada ya world cup. Gharama ya ukarabati na kuendesha ni kubwa kuliko mapato achilia mbali riba na Mkopo.


Ndio ujinga wamefanya mifuko ya hifadhi Tanzania. Wamejenga kila mikoa eti usawa na kupendezesha Miji. Sasatalipa na mavi na bado yatachakaa na kuharibu Miji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…