Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How old are you?Hii nyimbo ni ya forever bana,sielewi lugha ila imetulia sana
ila huu wimbo, kidogo imletee huyu mwanadada matata.. 🙉🙊
kisa...
mobutu seseko aliona ni yeye ndiye aliye stahili kuabudiwa zaidi, kushujudiwa na kumiminiwa sifa zote duniani!.🙏🏽

hivi aliona chungu sana kuskia neno nyayo(moi) likitajwa huku likipewa sifa.!

pia isitoshe jinsi alivyo ienzi kenya, ata kutaja miji zote nne kuu nchini kwa hisia mingi tena kutoka ndani ya moyo💝.

naskia mobutu kwa wakati moja alihamrisha huyu mwanadada haukumiwe kunyongwa for treason allegation charges for showering praise on another president(moi) and country, and not for her own president, and her country🤔
uwivu nayo!
 
as much u tzs claim that u are very close to your blood brother the south africa,. And tht kenya kept distance with it during the apartheid era...
but on the ground kenya is even closer to SA in many fronts than u can comprehend!🤔

i mean when it comes to matters roads infrastructure, city planning, real estate, lifestyle, education, banking and finance, malls, aviation, maritime, tourism, etc

here nakuru for instance is closer to polokwane or port elizabeth or bloemfontein in many aspects than any tanzanian city.. (may be arusha abit)


polokwane city👇🏽

nakuru city👇🏽
 
SADC ilianzishwa Tanzania na makao makuu yake yalikua Dar es Salaam kabla hata South Africa haijapata Uhuru toka kwa makaburu[emoji23][emoji23]

Kuhusu COMES A, sisi ndio tunajua umuhimu wa COMES A vs SADC zaidi kuliko Ninyi.

Ni jambo la kushangaza kuona wakenya wakiumia kuona Tanzania inakosa faida za kibiashara kwa uamuzi wake wa kujitoa COMESA na kitendo cha Tanzania kuegemea zaidi SADC kuliko EAC , kumbuka Kenya na Tanzania ni "Competitors".

Iweje mshindani wako wa kibiashara awe ndiye anayejisikia vibaya pale ambapo mpizani wake anapofanya vibaya na kupata hasara kwenye biashara?[emoji23][emoji23][emoji23]

Wakenya mnaona wivu Sana kwa Tanzania kuwepo SADC, the biggest, strongest and very prosperous economic block in Africa[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mlinasua Ethiopia? Ethiopia Ipi hiyo? Sio Ethiopia ilinasua nyie? Na Namibia ipi mlinasua wakati ofisi za SWAPO na operations zake zilikuwa Bongo! Wacha upumbavu!

Liberia how? Hebu elezea Kunyaland ipo ECOWAS? And Somalia mme-achive nn so far? BTW in South Sudan Uganda did more than Kundustan!
 
Madictator hua ni wazinguaji sana[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…