Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mkuu mbona na wewe umeanza kujibu kama fulani hapa? Hasira imechukua mkondo wake [emoji3][emoji3]
Nmemind kwasababu tunahitaji mahusiano na nchi nyingi zaidi ili tuweze kuuza bidhaa zetu zaidi watu wapate hela...imagine mkulima wa maharage anaelima ekari 20 kwakua soko liko China leo akaambiwa kuna soko la maharage Korea,kuna soko Japan Lima heka 100 ukiweza na mkopo anapata...huoni ndio anachomoka kimaisha tayari apo..
 
Hoja yako ni ipi naona unaporomosha matusi tu
 
1.Kwa ground Tz haijapave 12Kms bali ni 14Kms
2.Hamtakaa mucontrol uchumi wetu
 
Wasichojua ni kwamba, sisi tuna aina nyingi za Mabehewa[emoji41]
Eti anakwambia na wao wana new coaches, tangu lini Kenya ikanunua vitu brand new wakati Kenya maana yake ni second hand [emoji2781] [emoji2781] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alafu atakuja nwehu mmoja ataongelea GDP as if wanakula GDP, unawezaje kulinganisha nchi inayojitosheleza kwa kila kitu na nchi ambayo haijiwezi kwa kila kitu?
 
Labda watupe list ya kitu kipya walichonunua kama serikali tofauti na magari
 
Hii kitu ni kali, who said Kenya was copying ama ni wivu inakusukuma?, iko tafauti sana and unique in its way, najua ulikosa jibu kutoka Dar ilibidi ujaribu kuponda lakini wapi! 😂 😂 😂 😂 hii ni Nairobi zoea, wivu itakuuwa masikini..,


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…