joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sasa linganisha gharama za kila safari na hivyo vilivyopatikana, na ujiulize je hiyo mikopo isingepatikana bila rais kusafiri?1.Faida ya USA tayari nimeeleza hapo juu sirudii..
2.Ufaransa watajenga Terminal 111,
3.Dubai inaikopesa serikali bil.979,
4.West Africa-Serikali ilipata ruhusa ya kuanza kupeleka bombadia zetu huko deadline ni mwakani..japo ziara ya West Africa haikuwa ya kiserikali rasmi..
5.Oman watakarabati Uwanja wa KIA,watatoa pesa kwenye umeme n.k[emoji116]
Can't stop hunger and starvationAccording to nyanyaako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuanzia namba 1-5 Rais Kikwete ndie alifanikisha mchakato wa mikopo yote hiyo tena kwa kusafiri..Sasa linganisha gharama za kila safari na hivyo vilivyopatikana, na ujiulize je hiyo mikopo isingepatikana bila rais kusafiri?
1)Mkopo wa Tanzanite bridge ulipatikana bila rais kusafiri
2)Mkopo wa Flyover ya TAZARA rais hakusafiri
3)Mkopo wa Ubungo Flyover rais hakusafiri
4)Mkopo wa BRT awamu ya 2&3 rais hakusafiri
5)Mkopo wa uwanja wa ndege Msalato rais hakusafiri
6)Kutokana na servings za rais kutosafiri hovyo tumeweza kununua ndege na kufufua ATCL
Tuambia ni jambo gani (tangible) limetokana na safari za mama Kama sio nadharia na theories?
Nilidhani kidogo umestaarabika na unaweza kujenga hoja bila matusi, ndio nikaamua kujibu post zako nikitegemea umejifunza busara na hekima za kujadiliana bila kutukana, kumbe tabia ni Kama ngozi ya mwili hauwezi kuibadili. Wewe sio mzima kiakiliKuanzia namba 1-5 Rais Kikwete ndie alifanikisha mchakato wa mikopo yote hiyo tena kwa kusafiri..
Namba 5,zilikuwa ni stori hadi Rais Samia alivyokutana na Mkuu wa AfDB na ndio maana alizindua ujenzi wa Dom Ring Road na Juzi Msalato,Chini ya Mwendazake ilikuwa ni hadithi tuu bila utekelezaji..
6.Porojo zingine zisizo na msingi ni hizo kwenye namba 6.
Wewe mjamaa usiyeelewa biashara huwezi jua haya mambo si unajua mli paralyse uchumi Kwa sababu hamna akili.
Angalia exports ya Tanzania kuanzia 2021 hadi sasa afu uje kuongea ujinga wako hapa..
Faida nyingine ya Ziara hii hapa , VP anaweka mambo sawa Ili kupata pesa za sgr ya Kigoma[emoji116]
Ingekua hapo Kenya wangeiitaje tena[emoji2][emoji2]Dunia inajengwa mnoo Jakarta Indonesia [emoji116].
Dar ingoje Mombasa...?joker plzThe kind of houses construction going on in Mombasa Dar itangoja sana ifikie that level.
View attachment 2405996
[emoji23][emoji23][emoji119]Mkishindwa kitu mnaleta vitu vya ajabu ajabu[emoji16].. anyway[emoji23][emoji23]
View attachment 2406020
KajinyongeUongo
Ndio sababu tunawaambia ninyi wakenya hamna uwezo wa kubishana na sisi. Hili jambo la Uhuru kukodi ndege ya gharama kwenda Jamaica na Barbados tulilizungumza hapa hapa JF baada ya baadhi ya wakenya kulalamika jambo lile, wewe ulikua bado hujajiunga na JFhaya yote kuhusu kenya uliyajulia wapi? [emoji2375][emoji848][emoji848]
ata mm mwenyewe sijui ni ndege gani uhuru, alitumia kuvuka jomieca.
so kila mara tunapo sema wabongo mnafuatilizia sana kuhusu mambo ya ndani kinachoendelea humu nchini ata kuliko wakenya wenyewe, sio utani wala uchokozi, bali huo ndo ukweli wa mambo, na utazidi kugidhiri!. naujue hili tabia halikuanza jana
hivi ile list ya google trends iliyototewa na google kuhusu kile nchi flani ilikua ina search kuhusu nchi nyingine flani zaidi, haikua porojo..
yani wabongo nyinyi mnapenda sana kenya nyinyi watu.. semeni tu ukweli. [emoji3][emoji3]
mbona kenya akilini mwemu 24/7.! aa? [emoji848][emoji848][emoji848]
Kama haufuatilii mambo ya serikali kwasababu no1 humpendi basi jitahidi usifuatilie kabisa,unauliza maswali juu ya maswaliBure au tutalipa?, Sasa tuonyeshe pesa iliyotumika katika kugharimia hiyo safari, jiulize hiyo pesa isingetosha kugharimia ukarabati wa huo uwanja?
Raisi ni taasisi sio lazima yeye asafiri unafikiri enzi za Jpm wakina SSH na Majaliwa walikua hawatoki?we jamaa uko short sighted sanaSasa linganisha gharama za kila safari na hivyo vilivyopatikana, na ujiulize je hiyo mikopo isingepatikana bila rais kusafiri?
1)Mkopo wa Tanzanite bridge ulipatikana bila rais kusafiri
2)Mkopo wa Flyover ya TAZARA rais hakusafiri
3)Mkopo wa Ubungo Flyover rais hakusafiri
4)Mkopo wa BRT awamu ya 2&3 rais hakusafiri
5)Mkopo wa uwanja wa ndege Msalato rais hakusafiri
6)Kutokana na servings za rais kutosafiri hovyo tumeweza kununua ndege na kufufua ATCL
Tuambia ni jambo gani (tangible) limetokana na safari za mama Kama sio nadharia na theories?
Kwanza ebu niambie nchi gani hizo za East Africa Community you exported goods worth $2.5B.Kajinyonge
Kwanza ninakuhakikishia kwamba ninafuatilia Sana Mambo ya serikali kukuzidi wewe, pili ninaufahamu mkubwa wa nchi na Dunia kwa ujumla kukuzidi wewe.Raisi ni taasisi sio lazima yeye asafiri unafikiri enzi za Jpm wakina SSH na Majaliwa walikua hawatoki?we jamaa uko short sighted sana
Rubbish 🚮🚮.Nilidhani kidogo umestaarabika na unaweza kujenga hoja bila matusi, ndio nikaamua kujibu post zako nikitegemea umejifunza busara na hekima za kujadiliana bila kutukana, kumbe tabia ni Kama ngozi ya mwili hauwezi kuibadili. Wewe sio mzima kiakili
Mimi hili Jambo la monument au utambulisho wa nchi kimataifa unaniuma Sana, yaani wataalamu wetu wanashindwa kuja na moja ya hivyo vitu mpaka sasa! Kwa mfano Kenya Wana k.l.c.c, Sisi bado,mpaka Rais aseme ndio wanakurupuka,alafu mpaka sasa hivi hawajafanya kitu.Nimewahi kumsikia Sa100 akisema/akiwataka watendaji kutafuta eneo na kutengeneza monument kubwa ya hii icon ya mashujaa 👇View attachment 2405973kwa enaejua huu mpango umefkia wapi.?
We borrow coz we have capacity to payI thought Tanzanians don't borrow.
Wazazi wako ninawapa pole Sana, Kama umeoa basi familia yako Haina amani Wala furaha,.Ninakuhakikishia, kwa hizi tabia zako, Kama una watoto, nenda kapime DNA, lazima mke wako atazaa na watu wengine, hakuna binadamu mwenye akili timamu ataweza kuvumilia tabia za aina yako.Rubbish [emoji706][emoji706].
Nilikuita? Sijawahi tolewa kwenye reli na wapumbavu mimi by whatever way..
Ujibu au usijibu hunilishi na Wala sitobadili utaratibu wangu,pita kushoto.
Blaa blaa nyingi za kujifariji baada ya kukupa za uso, maneno meengi kama unapaka wanja 👇Wazazi wako ninawapa pole Sana, Kama umeoa basi familia yako Haina amani Wala furaha,.Ninakuhakikishia, kwa hizi tabia zako, Kama una watoto, nenda kapime DNA, lazima mke wako atazaa na watu wengine, hakuna binadamu mwenye akili timamu ataweza kuvumilia tabia za aina yako.
What I said is as specific as one can get. Perhaps You could tell me the kind of specificity you wanted me to point out.Still you are not specific.
Nmecheka sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazazi wako ninawapa pole Sana, Kama umeoa basi familia yako Haina amani Wala furaha,.Ninakuhakikishia, kwa hizi tabia zako, Kama una watoto, nenda kapime DNA, lazima mke wako atazaa na watu wengine, hakuna binadamu mwenye akili timamu ataweza kuvumilia tabia za aina yako.