chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Km on papers, Mna kilometers nyingi wakati 60% ya Kenya ni unaccessible?Barabara tunajengea watu, sio ardhi. Priority inapewa kule watu wanaishi.
Despite our small size, we still have more KM than you.
'Google Earth at Night' ni kitu cha kuokoteza kweli? this is a very reliable and authentic source tht even Nasa or US Marines would use to map out eastern africa at this moment
View attachment 2404701
Population ya Nairobi kwa sasa ni ipi?Hivi Dar yote imetoshana in population na Nairobi City Proper na bado mnasema ndio jiji kubwa EA considering 40% of Nairobi Metro population wako nje ya Nairobi proper?
NdioMkuu Dar es Salaam kiographia ni ndogo lakini inahudumia na vitongoji vyake.Mtu mchana Yuko Dar usiku pwani au yuko pwani mchana usiku yupo Dar es Salaam.Ndio maana mtu aliyejenga bagamoyo,Mkuranga,kibaha,kisarawe au kiluvya hata ukimwuliza anakwambia anaishi Dar maana hata huoni mpaka
Nuau nyumba nusu mnara [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2404776View attachment 2404778View attachment 2404779View attachment 2404780View attachment 2404781View attachment 2404783View attachment 2404784View attachment 2404786View attachment 2404787View attachment 2404788View attachment 2404789View attachment 2404790View attachment 2404791View attachment 2404792
Moja ya majengo nayoyakubali sana hapo Nairobi ni oldmutual towerView attachment 2404776View attachment 2404778View attachment 2404779View attachment 2404780View attachment 2404781View attachment 2404783View attachment 2404784View attachment 2404786View attachment 2404787View attachment 2404788View attachment 2404789View attachment 2404790View attachment 2404791View attachment 2404792
Don't forget your 80% ushuzi houses..., pia ndio zimejaza number.,And take into account, 50% of Nairobi buildings regardless ownership or use are not fit for human habitation.
So in your figures don't miss this.
hehehe.., tunaijua ilivyo jengwa.., na ni nini imejaza mji.., idadi ya watu na ushuzi ama unataka google earth tudhibitishe?😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Dar haiwezi fikia Nairobi Metro., usijidanganye 5.3 million verses 10 million people!Wacha kujiongopea mzee.. the built up area in DAR ni hizo km2 zote 1600 .. inawezekana mnatuzid kwenye kuwa na apartments nzuri ila sio kwa eneo lilijengwa mzee, DAR yote imejengwa hadi kila kona ya mpaka wake na Pwani region.
Oii hivi hizi Train zinakaaje kwanza nimechelewa mada wadau, ni utangulizi au ndio mzigo wenyeweVimiradi vya hivi vipo DODOMA hata kabla haijaanza kujengwa kama makao makuu ya nchi .. medeli [emoji116]View attachment 2404359
Hakuna malumbano Wala migogoro yoyote ya kibiashara kati ya Tanzania na Malawi, tunaishi kwa amani na upendo.Wakunya wanafikiri ni wao tu tunawalisha
Hivi umuhimu wa hizi malls katika nchi yenye matatizo mengi ya msingi vijijini ni upi?. Hizi malls ni kwa akili ya "upper &middle classes ambao ni city dwellers, 80% ya wakenya wanaishi vijijini, hizi malls zinawasaidiaje?
5M within Nairobi City.Population ya Nairobi kwa sasa ni ipi?
Nuau nyumba nusu mnara [emoji23][emoji23][emoji23]