Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado upo kwenye suala la households 🀣🀣🀣🀣 mimi niko hapa .. πŸ‘‡vs πŸ‘‡hii sio idadi ya households, ni idadi ya majengo au Nyumba mzee, usijifanye Hujui kiswahili 🀣🀣🀣🀣
 
Ni rahisi kupiga hatua kwa haraka kutoka hapo tulipo kulikoni safari iliotuchukua kufika hapa leo...miaka kumi ijayo tunaweza kua na per capita ya $ 3000> kutoka hapa tulipo sasa $1135
It will require software change ya raiya wenu...,
 
Alafu nyumba ya udongo pia ni household... Hizi takwimu hazimaanishi chochote!
Serekali ya Kenya inatambua household kama mahali watu wanapo pika pamoja, yani kama unajengo lenye room tatu lakini mnapika kwa pamoja basi hio ni 1 household, lakini kama kila mtu anapika kivyake basi hio ni 3 households.... Haijalishi kama jengo hilo limejengwa na mawe au udongo, bora kuna paa basi ni household....
 
Hapa haijaingizwa households πŸ‘‡ildadi ya majengo/ nyumba in the land of Tz 🀣🀣🀣 while nyie mko na half of our number
 
Hizo mashamba za cash crops are they Kenyan owned .? 🀣🀣 Una brag kuzalisha cash crops while huna chakula, what kinda people are you.? Si ni ukichaa
sasa WWE πŸ’©
Tea and Coffee farming is the biggest investment ya wakulima wadogo wa Central Kenya and parts of Rift valley!!
Saa yenye Kuna ukame sahii uko Nyeri,Kyeni area,watu ambao wanateta kahawa yao inakauka sababu ya ukame ni wakulima wadogo!!!ama ni who????
Kenya tuna bidii oyyyeeh!sawaπŸ–•
 
Duh kutraslate kizungu to Kiswahili ndo kimewachanganya mtu amebakia akiongelea vitu viwili tofauti kabisa...
 
🀣🀣🀣 Twende taratibu, wachana na mambo ya households, mimi huo nilishatoka kitambo, kwasasa nazungumzia majengo/ Nyumba ambapo namba za Tz ni hizi hapa πŸ‘‡
 
Kenya sijaona data ya nyumba, ama wewe uko nayo?.., nilikuelezea hiyo ni debate nyingine tofauti..,
🀣🀣🀣 Data zenu ni hizi census report 2019 πŸ‘‡kuna nyumba 7 million tu ndani ya kenya
 
Hii nimeisave, ntakuja nikuonyeshe takwimu zenu hapo ndo utaanza kulia ukigundua wewe ndo ulikua unaleta ushahidi utakaotumika kukunyonga mwenyewe..
Utahangaika wapi na data zetu hizi apa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
 
Home Owner inamaanisha nyumba ya kukaa na kulala, Jengo inamaanisha nyumba zote ukichanganya nyumba za biashara, viwanda, soko etc... Wewe uko na IQ gani
Huyu ni zuzu, kwa akili yake inamaanisha Kakamega iko na majengo mengi kushinda Nairobi..., Kakamega 363,381, Nairobi 138,976 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…