muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Hivo ndo inavyotakiwa kuwepo. Kituo hiko ninatakiwa kutumiwa na wasafiri tu. Na kunatakiwa kuwa na basi la mjini moja kwa moja kutoka hapo. Ila kama watachamganya na watu wa nje watakuwa wamefeli. Na hakuto kuwa na ndege ya kwenda marekani milele!Ila sijaafiki kituo cha BRT kuwekwa ndani ya eneo la airport pale karibu na geti la kuingilia terminal 2 mnaonaje wadau kwa mliotembea?! Congestion itakuwa kubwa sana pasipo na sababu!Wangefidia watu kule upande wa pili wa barabara wakajenga
Si unajua miaka 5 mitambo haijakarabatiwa.Kazi ipo
The biggest joke I’ve ever seen. People were anticipating a streamlined bullet train and this is what’s coming? 😂😂Hehehe
Hakuna namna Wakenya wanaweza epuka kipigo toka kwetu mana tumejipanga mnoo, ndio maana mm cku zote sitoacha kumsifu na kumuombea kwa Mungu JPM, Mwenyezi ampunguzie adhabu huko aliko mana yeye ndiye muasisi wa Tz mpya, viongozi waliopita baada ya Nyerere hawakuwa na uthubutu wa JPM. Leo hii kila rais wa TZ ni analazimika kufanya miradi tu, tena ile mikubwa mikubwa sio miradi ya neti.Baada ya miaka 5 Kenya itasalimu amri mchana kweupe hamna namna nyingine! imagine terminal 2 mradi done, 4 star hotel done mwendokasi done, SGR done Business facility done, nilikuwa napiga stori na eng. mmoja wa kifaransa kwenye mradi wa expansion & modernazation ya TB2 akawa ananidokezea walifanya observation ya Jomo Kenyatta then JNIA TBIII then ndo wakaja na idea ya super structure mpya ya TBII.[emoji847]
Tanzania hairuhusu uraia pacha, sasa labda umvue kwanza uraia wa Tanzania zen umkabidhi huo uraia unaotaka wewe kumpa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]British indian
Hii sera ya kuzuia dual citizenship inai-cost Tanzania zaidi ya kuleta benefits. Tunapoteza investments, talent, and intellectuals to other countries because we can’t recognize dual citizenship.Tanzania hairuhusu uraia pacha, sasa labda umvue kwanza uraia wa Tanzania zen umkabidhi huo uraia unaotaka wewe kumpa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi ipo
Mzee kandarasi ya kuchora au ...Plus pspf haijachorwa na Kenyan companyHawa jamaa ukiwa unafikiri umewaeka level flani ya ujinga, kesho wanakuja na jipya kudhihirisha kumbe kuna level nyengine chini yake ya ulimbukeni,
Kama basi tutatumia same logic ya kampuni inayopewa kandarasi ndo mmiliki wa jengo basi haya majengo yote huko Tanzania yanamilikiwa na wakenya manake Kampuni ya Kenya ndio ilipewa kandarasi ya haya majengo huko Tanzania
TPA towers
Tanzania Parliament building
East African Community HQ
Kilimanjaro Towers
PSPF Towers
Mwanza Shopping Mall
Zote hizo ni za Wakenya!!!! Twende nalo sasa
Ila hawa wakenya..That's an Indian you fool[emoji23][emoji23][emoji23]
Obama's father is a black Kenyan.Ila hawa wakenya..
View attachment 2402692
Na hyo mwingine..Obama's father is a black Kenyan.
And Obama's mother is white American, so, which criteria do you use to regard Obama as a Kenyan.Obama's father is a black Kenyan.
damn microwave backbone? kaka inahusiana na ile ya jikoni ama? Just kidding... 🤣 🤣 🤭🤭
Hili la bus stand ya mikoa ya Kusini Mbagala (3) nishawahi ona design yake mahali sijui kwann halipewi kipaumbele?Big Projects in Dar to be completed before 2025
1.BRT Phase 3 27km U/C
2.BRT Phase 4 28km.Tender imetangazwa
3.BRT Phase 5 .Loan Secured
4.Msimbazi River Project with New Bridge
5.Over 6 flyovers at diffrent Junctions
7.Mzizima Towers
8.7/11 Kawe project resumed
9.Samia Housing Scheme Kawe Tanganyika pakers
10. Morroco Square
11. Terminal 2 JNIA Expansion
12. Brt Phase 6 Most likely funds will be secured before 2025
13. New Indoor Arena 10k Capacity ..Kawe/Kibamba au wapi
14. Expanded Kariakoo Market
15.
Projects i wish the Govt should take before 2025
1.New Container Termimal at Dar port at least with capacity to handle 10 million extra tonnes
2. Upanga Finacial Hub /District
3. New Bus stand ya Ku serve mikoa ya kusini(Mtwra , Lindi , Kilwa , Rufiji) iwe mbagala
4.New Bus stand to serve mikoa ya kusini ( Bagamoyo, Arusha , Tanga , Moshi , Kenya ) iwepo Bunju zitapunguza congestion barabarani
5.TPA New Terminal for Boats and yatchs doing trip to Zanzibar
6. Dar. Es Salaam Waterfront Park
Projects i wish private companies zifanye
1.Simba Stadium
2.Yanga Stadium
3.