Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahyo hizo facilities umetaja ni mali za kenyans ama. .? 🀣🀣
 
Don't forget about their Parliament in Dodoma as well. Hiyo pia inamilikiwa na wakenya according to their reasoning πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Mnamiliki nini ninyi fukara wa mwisho nimekuambia niletee hao wakulima wa kunyaland wanaolima hata ekari 1 tu
Akilita mkulima wa kenya in the land of Tz mwenye analima hata robo hekari niite mbwa nipo palee nimekaa 🀣🀣🀣
 
Reli yenu ni loan full swing.
BRT phase 1 ni loan from WB.
Library ni Mali ya mchina.
Tanzite bridge Mali ya mchina
Ubongo interchange Mali ya mchina
Milimani mall Mali ya Botswana
Village palm Mali ya mchina
Povu jingi sana! Utakufa mapema wewe! Kunya panado upunguze maumivu moyoni![emoji1787]
 
Yanaonaga wivu sana kuona kila ghorofa Tanzania ni la mtanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wao wanamiki mabati tu huko kibra, taifa linaendeshwa na foreigners, wenye they own kila kitu hadi nyumba za makazi 🀣🀣🀣 alafu wao wako humu kupiga kelele na sie wenye tunamilki karibu kila kitu kinachoonekana ground
 
Kwahyo hizo facilities umetaja ni mali za kenyans ama. .? 🀣🀣
Si tunatumia logic yenu ya anayepewa kandarasi kujenga ndo mmiliki wa jengo? So hayo majengo yote nliotaja huko Tanzania tunayamiliki sisi Wakenya! Kumbe tuna mali nyingi sana huko Tanzania, karibia majengo yote mapya tunayamiliki!
 
Wewe kichaa hii ni ajira na uchumi sio kumiliki 99% ya nyumba ambao ni money draining scheme
Do you know what profit is? The profit that hiyo kampuni itatengeneza will be draining money from your country πŸ˜‚
 
Si tunatumia logic yenu ya anayepewa kandarasi kujenga ndo mmiliki wa jengo?

Teargass ameongezea bunge la Dodoma pia, hili pia tunalimiliki according your your logic
🀣🀣🀣🀣 Kwahyo hii parliament building ni jengo la mkenya.? 🀣🀣🀣
 
Hiyo nguvu ya kusneeze mtapata wapi bila Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2402326View attachment 2402327
Remember that Tanzania feeds you, we control you by allowing your people to get jobs and send back home remittances that save lives of many Kenyans, Tanzania is the biggest source of your remittances in Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si tunatumia logic yenu ya anayepewa kandarasi kujenga ndo mmiliki wa jengo?

Teargass ameongezea bunge la Dodoma pia, hili pia tunalimiliki according your your logic
Hawa watu bila wakenya sijui wangejipata WapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Tumewaletea civilization as well πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…