Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣 Wacha kua mjinga kwahy unaiweka Mombasa kwenye sentence moja na hizo miji nyingine au.? There's no single City in East Afrika which qualifies a city status in the chinese world
 



Tazara kuwa SGR hilo lifute na lisahau kbsa.. angalia reli gan nyingine ipo connected na hio tazara, ndo ufikirie tazara kuwa SGR
 
Haya sasa ndio mabadiliko yanayotakiwa, Sio eneo lina render nzuri ila miaka 10 bado majengo mawili [emoji23].
Ubabaishaji tu kila sekta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa speed ya 160km/hr sio salama kuwa na madirisha ya kufungua.
Pili ili kumaintain speed madirisha lazima yawe yamefungwa muda wote, upepo huwa una oppose speed.

Haya mabehewa ni ya kisasa Ukiacha mwonekano wa nje, which is not a big deal,
Hata milango yake inafungwa na kufunguliwa na dereva sio kuwa na watu wamesimama milangoni kama kondakta.
Seat ziko comfortable.
 
Mliiga design ili pafanane na kule ila mkafeli vby kama kawaida yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…