Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu bladfwakin ameanza kuliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., cha ajabu na hamuna, idiot kalilie kwa chooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jitu zima pumbavu
 
Chinese built Global Trade Centre (GTC), ujenzi umezingatia world class standards, mwenye wivu ajinyonge.., ujinga laana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hawa siyo wazungu ni Watanzania weupe wapo kwenye BRT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nairobi is not yet a world class city ila kuna sehemu with world standard levels.., hilo utabisha kweli?.., ata nchi kama Ghana kuna sehemu wako na kitu having world class standards, even operations za some services..,
Sasa nionyeshe iyo sehemu ya world standard niione kwanza
 
Nilitaka nimwambie ila nikakausha tu, eti SADC haina manufaa wkt bidhaa nyingi na biashara kwa ujumla tunafanya zaidi na SADC kuliko hawa maskini wa EAC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana mzee usikaushe ninapokosea unanichana ukweli ili siku nyingine nisikosee zaidi nikaja kuaibika pakubwa huko mbeleni. Kukosea ni kujifunza siwezi kuyajua yote. Watanzania tuko wawazi kwenye kukosoana [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Sawa mkuu, ila hii ndio the highest standard level road yenyu sio? ama kuna nyingine? my point is driven home [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa barabara pana hii ndio pana zaidi bongo nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…