Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko mambele ni balaa sana kk
Mi hua naangalia nachoka tu..
 
Picha nilipiga jioni jioni giza lilianza kuingia, so namm nikageuka nairobae mzee wa ukungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nawaonesha maana ya dream houses [emoji2515][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nmecheka sana,izo House bado sana aisee,angalia hata barabara hamna yani full michanga...Jiji ni infrastructures bana baso tunasafari ndefu kwakweli
 
Tatizo kuna hawa watu hawa wenzangu na mimi wa viwanja vya mita 5, hawa ndio huwa wanaharibu mandhari ya eneo kwa kujenga hovyo hovyo. Unakuta kuna mijengo ya adabu na ukiuliza viwanja wameuza hawa wenzangu na mimi alafu wao wanabaki na mita 5 na nyumba zao wanaunga unga, na tatizo sio nyumba kuwa hovyo bali tatizo ni mpangilio wa nyumba zao uko hovyo hovyo.
 
Nmecheka sana,izo House bado sana aisee,angalia hata barabara hamna yani full michanga...Jiji ni infrastructures bana baso tunasafari ndefu kwakweli
Hapo ni nje kabisa ya jiji, ni nyumba za kawaida ila classic, kiafrika Africa huwezi kusema eti nyumba hizi bado sn labda kama utalinganisha na nyumba za masaki au kwingine classic. Kuhusu mchanga mji ndio unakuwa, huwezi kuita nyumba kama hii eti bado kwa level zetu, utakuwa kichaa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…