Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku bongo barabara kila mkoa zipo na zinaendelea kujengwa, afu kule kenya barabara hata hazionekan zikijengwa, lkn eti wanasema wana barabara nyingi kuliko sis
Wanasema tunajidai kujenga baarabara sijui kama iyo kauli ya kichovu uliipata juzi?

Barabara ambazo ujenzi unaendelea mpaka sasa ni 1800km
 
Kutana na miradi mikubwa in Mwanza which ar currently under way..
Busisi bridge πŸ‘‡3.2 km2. Mwanza airport new terminal πŸ‘‡3. Solo kuu la Mwanza πŸ‘‡4 Nyegezi bus terminal πŸ‘‡5.Nyamhongolo bus terminal πŸ‘‡6. MV Victoria πŸ‘‡7. SGR terminal πŸ‘‡8. SGR VIADUCT πŸ‘‡ . Oya Don YF nyie tafutaneni na UG mfungue battle yenu .. sisi sio size yenu kabisa..
 
Dar, Dodoma na Mwanza yanaenda kuwa majiji ya Kisasa miaka ijayo kama yale ya Africa kusini, Johannesburg, Capetown na Durban.
Afu yote yatakuwa na SGR
 
Huu ni ukumbi wa disco ama?!
 
Wakati wa mjomba Magu tulijipambanua sana kwenye uboreshaji wa huduma za kimahakama, kuanzia miundombinu n.k .. yo huwezi amini hizi ni mahakama tu za kikanda πŸ‘‡ kigoma Temeke πŸ‘‡kituo cha utoaji haki Dom.. duh wala siwezi maliza kupost mana hizi facilities zipo karibu nchi nzima na nyingi zinafanana.. JPM was a real deal
 
Tuliwaambia watu wasubiri hapa BRT lanes zipite halafu wapost tena ile picha yao. ( BTW) ile Roundabout ya Kuelekea daraja la reli gerezani imefumuliwa yote , Zege la BRT limebakisha kidogo kuungana na Nyerere road na Msimbazi street. Halafu pale Chang’onge Flyover chini tayari limepigwa BRT zege la awamu ya tatu, Kule mfugale pia wameshatoa udongo wote wa kati pale.




 
Hapa nmepita leo.. ni balaa mzee wangu.. Ila pale panapokatisha reli ya MGR kuelekea bandarani panahitaji flyover pale ili kuopusha muingiliano wa reli na BRT .. ila huu mradi ukiisha utabadilisha kabisa taswira ya DAR kwa upande ule wa stesheni kule, I bet TRC watavunja zile ofisi zao za zamani na kuweka mpya
 
Mahakama zetu hazinamaamuzi kwenye baadhi ya case,kwa sasa tunahitaji mahakama ziwena maamuzi bila kuingiliwa na mhimili mwingine, hayo majengo mazuri pekee yake haitoshi
 
Kuna mradi wa Chanzo cha maji Butimba.
TIA na DIT Wameshaanza ujenzi wa campus zao za kisasa.
Kuna soko kubwa linajengwa maeneo ya kirumba na wameshafanya site clearance.

Kuna miradi kadhaa itaanza pia mingi ikiwa ni ya Tactic
 

Kweli Mkuu, Pale MGR na BRT kama hapajakaa vizuri.

Hapa MGR imekatiza eneo litakalokua na BRT lane .




 
Kuna mradi wa Chanzo cha maji Butimba.
TIA na DIT Wameshaanza ujenzi wa campus zao za kisasa.
Kuna soko kubwa linajengwa maeneo ya kirumba na wameshafanya site clearance.

Kuna miradi kadhaa itaanza pia mingi ikiwa ni ya Tactic
Tactic itajenga Mwanza zaidi ya barabara zenye urefu wa kilometers 35 za aina hii, pia litajengwa soko la kisasa la samaki Mkuyuni kama la ferry Dar


Streets nyingi za Mwanza zitakua na lami!
 
Kitu kilichonifurahisha miradi yote hii imejengwa na kampuni za ujenzi za undani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…