Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni sawa lakini tender yoyote lazima kutakua na BOQ inavyoainisha materials na bei zake . Unaweza ukawa na bei ndogo ambayo inafikilisha . Kwa mfano unaqoute mfuko wa saruji ni 10k nayo sio sawa . Kila project inakua na budget estimation, to be honest kwa quality ya BRT phase 2 hadi mkuu wa wilaya alikua anawaambia warudie baadhi ya maeneo. Yaani nyufa zimeanza hata haijanza tumika.

Sijajua kwa nini wamepewa phase 3 hao 'Ni hao' , hata wewe ukijenga fundi akizingua hawezi pata kazi nyingine .

Halafu kwa speed yao ya ujenzi sijui itakuaje maana nyerere road ndio njia ya kwenda airport. Itakua kero sana kwa abiria
 
Body language ya PM hapo inamaanisha kuna madudu. Huo mlango hauko sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma habari kamili hapa mkuu..
kuna mtu alisema watu walikuwa na nidhamu ya uoga, si ya kutoka moyon..
bongo hii mtu uwe na nidham ya kutoka moyon? Wakat kila mtu anasaka hela
 
Unamiliki nn wewe kama Masha?that is more important, endelea kujitoa ufahamu
We kwani unamiliki nini isipokua smart phone? Shenzi type. Shida uko wapi wakikuyu na wasomali wakisemekana ni among the richest tribes in Afrika? We ni wivu wa kidanganyika unakusumbua
 
Soma habari kamili hapa mkuu..
kuna mtu alisema watu walikuwa na nidhamu ya uoga, si ya kutoka moyon..
bongo hii mtu uwe na nidham ya kutoka moyon? Wakat kila mtu anasaka hela
Aisee ni ujinga ujinga tu kwenye miradi ya serikali, watu wanajilipua vile wanavyotaka kwasababu hakuna wa kuwafokea kalamu nayo imeisha wino [emoji2955][emoji2955].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…