Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila anayepewa tender anafungwa specifications za mteja ikiwemo standards zinazohitajika! Hii kampuni inafanya economic sabotage!

Kampuni B imesema itajenga kwa 450 kwa standard zile zile alizosema kampuni A na C hapo lazima ashinde tender.
Bahati mbaya sana baadhi ya wanaopitisha hayo mamikataba wanaangalia gharama.
 
JKIA si chochote mbele ya JNIA hakuna mtu wa kuubadili huo ukweli kwa maneno since seeing is believing
jinyonge ufe bana ama zoea maumivu mapema πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Electrified SGR ya Tz ndiyo SGR ndefu zaidi Afrika na one of the longest electrified SGR in the world unategemea itakuwa na overpass na underpass mbili kama za diesel upgraded MGR yenu?
50 years mbele.., yaani ndoto ndio unaongelea, ni vizuri kuota πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Duh!ila wale strabag sidhani kama walishinda kwa unafuu,jamaa kazi yao nzuri miaka karibia 8 now ila barabara na vituo bado viko sawa
 
But cheap is very expensive bro. Ndicho wanachokisema hapo juu.!!
 
Mtaimba hizi pambio hadi dunia inaisha nyie wachawi na warogi 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Unabishana na vitu vinavyozinduliwa wiki ijayo.? 🀣🀣🀣
 
jinyonge ufe bana ama zoea maumivu mapema πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hata ukalete katoto kadogo kafanye tathmini ya modernity among those two facilities katakucheka 🀣🀣, JKIA ni lidubwana la kizamani mzee no need to argue
 
Kumbe serikali imeamua kuwa serious bhana kwenye masuala ya real estate development πŸ‘‡ . Wakenya mbona watakimbia humu, mana hiyo ndio ilikua comfort zone yao ya kujidai iliyobakia 🀣🀣, we takin over karibu kila secta
Mumeanza kukubali 😁😁..

Na bado huu ni mwanzo tuu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221018-113244.png
    202.3 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…