Nani kakwambia tulisomeshwa?[emoji2][emoji2][emoji1787] mkopo inatoka kwa watu fulani tu sio kila mtu anapewa kijana...Nasimama na point yangu najua we unaangalia upande wa huduma tuPamoja na usomi wako lakini bado umeonyesha ni namna gani akili yako ilivyo finyu, kufanya kazi vijijini kunaweza kuwa potential zaidi kuliko kufanya kazi mjini, since Mtwara kuna Ardhi yenye rutuba na inasapoti kilimo chochote (ukitaka mali utazipata shambani) uzuri zaidi Mtwara ni mkoa ambao hauko mbali na DSM pia, Upande wa chato alkadhalika ni wilaya inayopakana na mikoa miwili Geita na Bukoba na pia haipo mbali sana na Mwanza, kwahyo kwa kilimo+biashara vyote vinatoa .. Halafu mzee wangu, unavyo discourage watu kufanya kazi vijijini eti kwa kigezo cha hawatotajirika [emoji1787][emoji1787] huo ni utahira, since udakitari ni wito, uko pale ili kuihudumia jamii, mlisomeshwa kwa mikopo (pesa za watanzania walipa kodi) mpaka mkamaliza, leo mkiitwa mkawahudumie kuokoa maisha yao mnakataa, kwa kigezo eti ni kijijini hakuna maisha mazuri[emoji1787][emoji1787].. mtanzania wa aina yako hautufai wewe kwenye mambo ya kuwa civil servant .. huna uzalendo, wewe ni mtanzania mshenzi kabisa wewe
Wewe mpaka dakika hii umelifanyia nini hili taifa.? na utalifanyia nini hili taifa ikiwa uko na mtazamo wa kimaandazi kiasi hicho.. .?Nani kakwambia tulisomeshwa?[emoji2][emoji2][emoji1787] mkopo inatoka kwa watu fulani tu sio kila mtu anapewa kijana...Nasimama na point yangu najua we unaangalia upande wa huduma tu
Afadhali,Nmeona comment mtu kaandika kigoma inaenda kua kama ulaya[emoji2][emoji2][emoji2] watu walikata tamaa nn
Ilo ni swali ujiulize wewe umelifanyia nn taifa lako.Mimi sina haja ya kujibu swali kama hiloWewe mpaka dakika hii umelifanyia nini hili taifa.? na utalifanyia nini hili taifa ikiwa uko na mtazamo wa kimaandazi kiasi hicho.. .?
Wewe ungesema madaktari wanafaa wawekewe miundombinu mizuri ya kazi na makazi mazuri huko vijijini hapo sawa ila sio zaidi ya hapo , ukishaanza kuwa na mawazo ya maslai sijui madili tafuta kazi nyinginee brooMimi sio kwamba sikutaka ijengwe,Nimetoa views zangu upande wa maslahi ya watoa huduma ukilinganisha na maeneo kama mwanza mjini ama Dar
Unanipangia na cha kusema?kama haujapenda nilichokisema pole na sio lazima upendeWewe ungesema madaktari wanafaa wawekewe miundombinu mizuri ya kazi na makazi mazuri huko vijijini hapo sawa ila sio zaidi ya hapo , ukishaanza kuwa na mawazo ya maslai sijui madili tafuta kazi nyinginee broo
Kumbe wewe ni demu.Wewe ni mujinga. Wanawake hawatukanani. Jiheshimu
Hehehehe Kenya ni ile ile bro huna cha kudanganya humu, ni vijumba viwili vitatu kwisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wako wanajisifia the richest tribe in Africa[emoji23][emoji23][emoji23] eti kukuyu sijui...Me kama mkenya najiua vyenye iwe tz Aiwez shinda sisi ghai ghai hahahahaaaa
Jamaa utakuwa mchaga ww...Fundi Tuliaa,Watu hawategemei mishahara mjini kaka,Apo chato ukizubaa utaishia kua masikini nakwambia...Sema kwavile ni kanda ya ziwa wasukuma hua wanafunguka kidogo panaweza kua sihaba...Nawaonena huruma tu wale wa Mtwara...Waswahili wa Mtwara kule hela hawana
Hebu ngoja tuone...ingawa mapaa yake sijayapenda...Vituo vya BRT Phase 2 wanaweka material ya aina hii , take a close look.
View attachment 2388860
View attachment 2388861
View attachment 2388862
View attachment 2388863
Ni kweli nyumba ni muhimu sana kwa ajili ya watumishi, nimependa ilivyozungukwa na miti huku bado wamepanda miti mingine.Hii ni hospital ya wilaya ya Kakonko-Kigoma
Hapa serikali imesolve tatizo moja ,tatizo lililobaki ni watumishi...ukiangalia kwa makini hapa hakuna nyumba za watumishi...na zikijemgwa hazitozidi 3 tu...Humu ndani kuna wanasiasa mue mnakumbuka na nyumba za watumishi ile ni motisha ya muhimu sana,Mkiweza kupunguza matumizi yadio ya lazima kama kununua zile V8 zenu itakua msaadaView attachment 2388831View attachment 2388832
Hamna mambo ya nyumba hapo fungua link[emoji1787]Hehehehe Kenya ni ile ile bro huna cha kudanganya humu, ni vijumba viwili vitatu kwisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujawahi kusikia Kigoma ndio mwisho wa reli? Hata maendeleo wanasema walikuwa wamesahaulika wakati ni mkoa wenye rutuba nzuri kwa kilimo na watu wake ni wachapakazi wazuri tu. Upo karibu na Burundi na DRC so biashara itafanyika wakiwakamilishia bandari na kuwaunganishia barabara za mikoa kwa kiwango cha lami.Afadhali,Nmeona comment mtu kaandika kigoma inaenda kua kama ulaya[emoji2][emoji2][emoji2] watu walikata tamaa nn
Hata mimi nineshangaa lakini mbona anasound kama me? Au amemtukana kwamba mwanaume lakini anaongea kama ke? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji41]Kumbe wewe ni demu.