Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Poor Danganyika cannot feature anywhere internationally except in poverty
 
Najaribu kuwaza na kamasters kako unaenda kufanya kazi chato...Apo ukishatoka kazini unaenda wapi?mji uko wap apo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
Dah hili ndio tatizo , kwani wanaoishi huko wanapungukiwa na nini? Masters inakufanya kuwa mweredi wa kufanya kazi eneo as long as unaokoa maisha ya watu . Idadi kubwa ya wagonjwa kwenye hospitali ya rufaa inasababishwa na ukosefu wa hospitali kubwa zenye vifaa tiba vya kutosha . Hii nzuri sana . Hata mtwara ilijengwa . Ni vizuri zinaongezeka haswa kwenye level ya wilaya
 
😂😂 😂 😂
 
hao wanarebase economy yao kila uchao ili wapate nafasi ya kuacomodeit mikopo. Sisi tukirebase mda wowote, utaona tutakavyo waacha mbali.
 
Najaribu kuwaza na kamasters kako unaenda kufanya kazi chato...Apo ukishatoka kazini unaenda wapi?mji uko wap apo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
Weww unataka uende wapi cha muhimu madaktari wajengewe nyumba za kuishi tuu, naelewaa ww ni daktari na kila kazi ina changamoto zake ila utachagua mwenyewe tuu ukae jobless au utimbe kijijin upige kazi ulipwe mshahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…