Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha tu nikae kwa apartment tao na huku mansion yangu iko ocha... uswahilini kwa 'wapiga chabo' ni kwa akina Lunatic
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] [emoji91] [emoji91] napoishi milele huwezi ishi.......utakuwa tu unabaki kuishia kuyaona maisha mazuri kwenye movie tu.....

huku naishi real good life
 
saa hizi ndio unashtuka???? lol the guy is getting dumber by each post.... akiondoka lunatic, anaingia kidonda.... nashuku ni mtu mmoja
ujue nyie wakenya mnautindio wa ubongo.......ndiyo maana nchi inayoongoza kuwa na machizi na vilema ukanda huu ni africa kenya ni nchi ya kwanza.....[emoji13]
 
fresh photos.
unfortunately this is how some guys on instagram show to the world the real image of kibera.
 
kuna mshamba alikua analia lia kuhusu minara...ako wapi yule?
Hahahaha you have only Times Tower and JKICC

Mi si mshamba kama wewe, street zote nazipata kuanzia hapo Cathedral (Mjini Kati) mpaka Embakasy, E3 na Bahati, Buruburu mpaka Lovington, bila kusahau Uchafu wa kibera, Lang'ata barracks nk.

Mji wa kishamba tu huo. 80% ya majengo ni ya wageni halafu unajisifia. Kijana Tekkea

Karibu bongo ule upepo mwanana
 
Do you watch or see movies?
Naona tumahamia Grammer ? Zote sawa hizo.

Do you "watch" a movie or "see" a movie?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…