Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niko nakimbizana na maisha sina muda na mambo mengine.
ok.. 🤔🤔 swadakta! hapo ndipo masera👍🏽.. nimekupata kabisa. yani sasa leo naweza connect 'les' na 'race' maana 'r' na 'l' in bongo is used interchangeably.
..tht has been a ?puzzle for me, for many yrs🤔 ..imagin since 2003!
 
hivi kusema "niko les na maisha" ina maana gani bongoland? niliwai pia sikia daz mwalim na jaffarai waki rap vile..... "niko les"🤔🤔🤔??
Sio "les" ni "race"
Wakimaanisha "nakimbizana na maisha"
Inaweza kuwa sawa na kusema "race against time"
 
Mbona jibu rahisi iliwashinda kupost? kulikoni?.., ni nyote mnajitoa ufahamu due to blind patriotism, kukubali ukweli ni tatizo kwenu, ukweli mchungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmetia adabu.,
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…