Hii taarifa nimeisikia kwako kaka sikuwahi kujua ni aina gani ya mifugo. Kwa umasikini ni kweli angalia watu wao wanaokimbia nchi yao ambao wanakamatiwa kwetu ni kubwa mno. Maisha kwao ni magumu sana.Wale umaskini umezidi sana. Wale ni zaidi ya Kenya kwa umaskini. Wanaidadi kubwa ya Punda na sio ng'ombe wala mbuzi. In Ethiopia, kuna mpaka ambulance za Punda. Ni Usafiri wa watu na mizigo kama huko Lamu kwa maskini wenzao.
Kwani nyinyi ndio hamkimbii nchi yenu?Hii taarifa nimeisikia kwako kaka sikuwahi kujua ni aina gani ya mifugo. Kwa umasikini ni kweli angalia watu wao wanaokimbia nchi yao ambao wanakamatiwa kwetu ni kubwa mno. Maisha kwao ni magumu sana.
Inashangaza pia kuna watanzania humu wanakubaliana na hizo fake datas 🤣Me mwenyewe nashangaa watu wanavyobishana na kunyaland kwa kutumia statistics zao, ni uongo mtupu hakuna statistics kutoka kwao zinasema ukweli zote ni fake.
Kiduku keshamdunda mtu huko Mtwara. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Mchezo wa ngumi umekua na muamke mkubwa sana.. tuko na bright future sana
🤣🤣🤣 Unajua kuwa DAR ni kubwa mara tatu kwa Naipori.? 🤣🤣🤣
Hatua hiyo inajiri baada Kampuni zilizoonesha nia ya kuwekeza katika mradi huo, China Merchants Holdings (International) Co Ltd (CMHI) na Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman (OIA0) kujitoa