Still it remains a local airport nyambaff.., angekua amepata position in a multi-national, heading more than 5 to 10 countries ndio ungeongea, tofauti yake na school principal ama a vice chancellor ni nini?..,she's just the head of a local entity., afadhali mama Anna Tibaijuka the first African woman to be elected by UN-General Assembly to head UN-Habitat..,KIA sio Kisumu we tumbili wa Maasai Mara.
ati.!?😆Wew ambaye unamjua mpaka mchizi mox unajifany hufuatilii bongo[emoji28]
Trillions 360 wasingewahi kulipwa iyo hela kamwe
Walishindwa kuwachekecha watoe walau 10%
hivi inakuwaje mama kamuacha huyu kuwa Mkurugenzi mkuu? hiyo gender card anayoimba hapa haija-apply?
Unataka mpaka tuanze kuumbuana hapa?[emoji2]ati.!?[emoji38]
Raisi anaweza kuwajibishwa iwapo wabunge watafanya kazi yao vizuri na kuhusu kuwawajibisha wabunge kwenye next election tunawapiga knockout kama hawa performMkuu mbona wabunge na madiwani tunaowachagua, au hata rais tunaemchagua hatuwawajibishi zaidi ya kupiga kelele?, Bado rais anaendelea kuzurura hovyo pamoja na kelele za raia?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Waafrica kutoboa kazi kwelikweliSerikali inahubiri maji lakini inakunywa divai, waziri alisema wanapunguza matumizi ya kuendesha serikali hasa ununuzi wa magari na matumizi ya mafuta ila aliesema hivyo ndio kiongozi wa kwanza kununua 300 vxr serikalini
View attachment 2365345
Umemshika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka mpaka tuanze kuumbuana hapa?[emoji2]
Kwa taarifa fupi hyo nyimbo ulikua unaimba ilitoka mwanzon mwa miaka ya 2000[emoji23]
View attachment 2365845
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemshika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shule za Tanzania have won how many trophies so far?
View attachment 2365619View attachment 2365623View attachment 2365631
Nilisema tufanye maombi au matambiko kwa hawa ndugu zetu, hali zao ni mbaya mno. Hii sio poa, watu wanasukuma ndinga kumbe hawana ugali?😂😂
😆😆 wee filaria sio mpoaUnataka mpaka tuanze kuumbuana hapa?[emoji2]
Kwa taarifa fupi hyo nyimbo ulikua unaimba ilitoka mwanzon mwa miaka ya 2000[emoji23]
View attachment 2365845
Hakuna umeme wa kuendesha hiyo treni kwa sasa even hata next year.
Mama ana mbinu za Kijasusi……😅😅
still haifikii KIA! Si Eldoret si Mombasa!but ubaki ukijua, Eldoret Int'l Airport upokea Emirates na Qatar Air