NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,288
- 19,636
Yani Mkenya aone wivu juu ya gorofa tatu za 20 floors? Enda hospitali wee.Upanga Kuna gorofa Tatu zenye ziko na 20+ floors Ambazo ni
1. Uhuru height 27 floors
2. Viva tower 21 floors
3. Vijana tower 20 floors ..
View attachment 2364998
Vijana tower View attachment 2365002and the rest of Upanga majengo marefu yote ni Kati ya floors 10-19 ๐View attachment 2365003View attachment 2365004View attachment 2365005View attachment 2365006View attachment 2365007.. tuusan. Hiyo mbwa insumbuliwa na wivu na roho mbaya tu
Hawa watu hawana kazi ya kufanya zaidi ya kula hela za serikali bure tuu. Hivi vyeo vya RC na DC vinapaswa kufutwa kabisa bora tuchague magavana katika provinces ambao tutaweza kuwawajibisha moja kwa moja.
HeheheHawa watu hawana kazi ya kufanya zaidi ya kula hela za serikali bure tuu. Hivi vyeo vya RC na DC vinapaswa kufutwa kabisa bora tuchague magavana katika provinces ambao tutaweza kuwawajibisha moja kwa moja.
Naona Utopolo nao wanajitahidi siku hizi wanaiga kaka mkubwa [emoji16]View attachment 2365159
Wakunyani club zenu sizioni kwenye list asanteni kwa kushiriki
Akirudi ni tag plz [emoji16]What about hunger, slums, starvation and poverty level?[emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mali kauli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kunyaland saivi inaendeshwa kwa nguvu ya hirizi [emoji28][emoji28][emoji28]
Angalia na size ya uchumi wa South Africa wewe kijana acha umbumbumbu wa kulinganisha fenesi na chungwa.Kukosa akilia ni kitu m'baya sana. Are you aware that South African public debts is more than all East African countries debts combined?
Kiongozi hawa huwezi kushindana nao humu ndani maana huwa wana argue tuu for the sake or arguing hamna reasoning yoyote.Jozi hawafi njaa kama ninyi wala hawana deni la trillion 9 kama ninyi kiasi mnashindwa hata kucover 30% ya budget yenu bila misaada na mikopo
Level yenu ni majirani zenu wa karibu kabisa Somalia na Sudan
Mkuu mbona wabunge na madiwani tunaowachagua, au hata rais tunaemchagua hatuwawajibishi zaidi ya kupiga kelele?, Bado rais anaendelea kuzurura hovyo pamoja na kelele za raia?Hawa watu hawana kazi ya kufanya zaidi ya kula hela za serikali bure tuu. Hivi vyeo vya RC na DC vinapaswa kufutwa kabisa bora tuchague magavana katika provinces ambao tutaweza kuwawajibisha moja kwa moja.
Hivi ni kipi usichokielewa?, Hata rais wenu mpya amesema kwamba Kenya mnaishi kuliko uwezo wenu unavyoruhusu.Kwani Tanzania ndio haikopi?
Handover inakuaga approved na consultant au client ? Nauliza sijui kwa kweliMbona hawa TRC wanafanya kazi kwa kubahatisha? Mtu ambaye ni mtaalamu/mahiri na kazi yake hawezi kuwa wa kubashiri bashiri kila wakati, kuna namna hapa siyo bure!!
Serikali inahubiri maji lakini inakunywa divai, waziri alisema wanapunguza matumizi ya kuendesha serikali hasa ununuzi wa magari na matumizi ya mafuta ila aliesema hivyo ndio kiongozi wa kwanza kununua 300 vxr serikaliniHawa watu hawana kazi ya kufanya zaidi ya kula hela za serikali bure tuu. Hivi vyeo vya RC na DC vinapaswa kufutwa kabisa bora tuchague magavana katika provinces ambao tutaweza kuwawajibisha moja kwa moja.
Bado hakuna watanzania hapo?Upumbavu mtupu, wanaume hawa hapa [emoji116][emoji116]View attachment 2365111
Sitaki kuwatetea.. lkn magari ya design hii ni muhimu kwa watu kama hao wanaozunguka sehem mbalimbali korofi na nzuri.. serikal imewapa kazi (majukumu) lkn pia lazima serikal ijali afya zao.. anaepanda prado (za wakenya) na land cruiser (za watanzania) ni vitu viwil tofaut ๐ .. its lame excuse but kuna utofauti ๐...Serikali inahubiri maji lakini inakunywa divai, waziri alisema wanapunguza matumizi ya kuendesha serikali hasa ununuzi wa magari na matumizi ya mafuta ila aliesema hivyo ndio kiongozi wa kwanza kununua 300 vxr serikalini
View attachment 2365345
Hakuna umeme wa kuendesha hiyo treni kwa sasa even hata next year.Kila wakitangaza wanasogeza mbele miezi ikifika wanaanza excuse, wanyamaze
Usiongee usichojua bwana kivevele ๐Hakuna umeme wa kuendesha hiyo treni kwa sasa.
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎUsiongee usichojua bwana kivevele ๐
Au hio jan 2023 mtatumia umeme gan kama hakuna umeme kwa sasa