Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha ya kwanza tu umepuyanga Nairobi mpaka Thika? Mbona Nairobi ni ngumu sana kupambana yenyewe? Usiniambie upumbavu wa metropolitan kwenye hiyo mbuga ya wanyama tu 😅
Nairobi county haiwezi hata siku 1 ikawa na stretch ya 50 km sababu kanairobi ni sawa na viwanja vitano vya mpira shughuli imeisha

 
yeah mzee ...I think tunahitahi another 3 b787..to serve well the markets
I think 4 2 for Europe London n say Paris/Amsterdam/Frankfurt markets n 2 for US New York/Dallas/Washington DC markets! 3 for Southeastern Asia Guangzhou/Beijing/Hongkong, Kuala Lumpur, Singapore n Bangkok!
 
Za ndani ya Jiji nazo unataka dual?au umetaja zote hadi za two lanes?
 
Ukija huko unawapoteza mara nyingi km zao ni za makaratasi
 
Westlands alone is more developed than entire Dar is Slum.

View attachment 2360431
Afrika bhn inachekesha sana, mtu anakomaa na picha hzo hzo mwaka mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…