Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Izo barabara unazoonyesha ni kama za Tz tu sasa tuonyeshe barabara inazofanana na za SA
mbona hakuna cha ajabu!🙀 mbona sioni tofauti








hizi hapa Nyamasaria, kisumu👇🏽 11km before ufike kisumu city centre
 
Tofautisha kati ya uchaguzi na uchafuzi tume inateuliwa na Mwenyekiti wa chama halafu unategemea nini hapo? Ndiyo maana watu wanataka katiba mpya
Huko kwenye katiba mpya mbona malalamiko ni Yale Yale hata baada ya mahakama kuthibitisha bado majaji wanalaumiwa?, Tujifunze utamaduni wa kukubali kushindwa, katiba mpya haijabadilisha lolote Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…