Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 200
Mi ni mtanzania ila kwa upande wa miundombinu ya usafiri nakubali kuwa Nairobi wametupiga gap kubwa. Tujipange
mbona nyumba zinafanana....ina maana wote wanaoishi kwa hizo nyumba,wanalipa rent kwa mtu mmoja?.we kadoda leta vitu vya maana kama hivi
![]()

hahaaa...tulia dawa ikuingie.kama vile mnavyopenda kusemaZinafanana na kota za polisi kule Bomang'ombe Hai -Kilimanjaro
Nyumba za kujishkiza tu izo sijui uko kwenu Ndio mnaona mmefika
Hahha watoe wapi vitu expensive kama hiviwe kadoda leta vitu vya maana kama hivi
![]()
sababu zako peleka kule...kwani wanaoishi apo ni paka.....mbona nyumba zinafanana....ina maana wote wanaoishi kwa hizo nyumba,wanalipa rent kwa mtu mmoja?.![]()
![]()
leta nyumba zisizofanana zinazo milikuwa na wakenya wa kipato cha kati hapo nairobi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
povu.....punguza hasira.sababu zako peleka kule...kwani wanaoishi apo ni paka.....

Your injecting us placebo we now figure it out...hahaaa...tulia dawa ikuingie.kama vile mnavyopenda kusema
Bedsitters are in every civilized city.That's where most young people start from"wasee" wa kulala kwa bedsitter.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Zinafanana na kota za polisi kule Bomang'ombe Hai -Kilimanjaro
Nyumba za kujishkiza tu izo sijui uko kwenu Ndio mnaona mmefika
