I822-2-(2((×@×,sksk(-,,×*2-×,×8sww2ka,ks2zkzko8kkwkwzz22ks,k2,2w2wkzo@((w,kw2ko (Unapandisha ya Kenya ukiteremsha ya Tanzania. I have come to realize that you have very little knowledge about your country yet you "know" about kenya. Sadfa ulioje! Soma hizi taarifa mbili. Ni site moja inazungumzia inflation ya both Kenya and Tanzania
United Republic of Tanzania Inflation rate, 1980-2017 - knoema.com
Kenya Inflation rate, 1980-2017 - knoema.com
Kashindwa kuunga mkono juhudi za wananchi hata kajukwaa kaupande mmoja tu?
Hamna kitu humo mkuu, tupambane miaka hii iliyobaki na mingine mana lazima atapewa cz wajanja wananufaika, tunae huyu mpk 2030.Kashindwa kuunga mkono juhudi za wananchi hata kajukwaa kaupande mmoja tu?
Mko nyuma sana walai. Sahii ndio CT scan inafika Kigoma. 🤔 Waaaaa poleni sana watu wa Mama.CT Scan kila mkoa.
Kigoma 👇
Kataja tourism moja ya factors zitakazofanya uchumi ukue lkn hapohapo anaona michezo sio factor ya uchumi kukua.. wakat kuna kitu kinaitwa sports tourism ambapo hapohapo kuna ishu ya transport, accodomotion etc.. pengine kawaza internally, wakat externally kukiwa na viwanja vizur vya kutosha kuna tournaments tunaweza kuhost kwa kuwa tuna facilities nzuri. Mf kukiwa na international swimming pool tunaweza kuhost hata mashindano ya kimataifa ya swimming. In football, kuna hzi za CECAFA, sijui cosafa, afcon hata za youth u23 sijui u20 hata afcon za senior. Kataja kenya kupata medals lkn hizo medals zimepatikana nchi za nje ambapo hizo nchi za nje ndo zinafaidika kiuchumi kutokana na ujio wa wageni, wakenya wao wana pata medals tu individually. Mwanzo nilipotezea ila ngoja niongee haya machache afu niendelee na ishu zangu 😀Nipe hesabu ya watu wangapi wameajiriwa kupitia michezo.Tusiwe narrow katika kufikiri hakuna factor Moja kwenye ukuaji wa uchumi.Jana watu wengi wametoka mikoa mingine wameenda Ruangwa pale watalala,watanunua tafsiri wameinhiza fedha kwenye mzunguko.Al hilal wahu kuutumia tu uwanja wa Azam kwa mechi Moja milioni 6.Tusifikiri uchumi kwa jicho jembamba it an intergreted phenomenon.Unahitaji kuona multiplier effect ya jambo.
😆😆😝😝 Kwa hiyo huku ndio Mbele ya Kunyaland si ndio? 👇Mko nyuma sana walai. Sahii ndio CT scan inafika Kigoma. 🤔 Waaaaa poleni sana watu wa Mama.
Hahaha 80% domestic flights. KQ hata hawajui Mtwara ni wapi bana. Nothing has changed, stop forcing issues.Miaka kadhaa nyuma hili flight status Board lilikua limejaa midege ya watu. Siku hizi wamejionea tofauti.[emoji41]
View attachment 2354124
Routes za daladala😂🤣😂😂Miaka kadhaa nyuma hili flight status Board lilikua limejaa midege ya watu. Siku hizi wamejionea tofauti.[emoji41]
View attachment 2354124
Hapo bado kodi ya sports bettingNipe hesabu ya watu wangapi wameajiriwa kupitia michezo.Tusiwe narrow katika kufikiri hakuna factor Moja kwenye ukuaji wa uchumi.Jana watu wengi wametoka mikoa mingine wameenda Ruangwa pale watalala,watanunua tafsiri wameinhiza fedha kwenye mzunguko.Al hilal wahu kuutumia tu uwanja wa Azam kwa mechi Moja milioni 6.Tusifikiri uchumi kwa jicho jembamba it an intergreted phenomenon.Unahitaji kuona multiplier effect ya jambo.
Hizi ndo unataka kusikia au kuna kingine?Watu wangekuwa wanaweka facts humu ndani tournaments za Afcon zimetengeneza faida kiasi gani ningewaona wa maana! Ila kuna wapuuzi humu hawajui economics hata kidogo arguments zao ni emotions tu! Wanakuwa excited na vitu vidogo vidogo visivyo na economic value ya maana! Ndio maana mimi binafsi na-support Uganda na Tanzania kuhost Afcon pamoja na ku-share hasara na ku-minimize magnitude! Kwa maana najua hosting those tournaments is more of a prestige!
Mngekuwa mnachapa Kazi Nchi isingekuwa buncrapty 😆😆.Wakenya ni wachapa kazi.
Congratulations Jeremy Awori. 👏