Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anasahau sisi huwa tunaingia Nairobi kama vile toilet 🀣🀣🀣🀣View attachment 2349687

Ufukara na uchafu kwa pamoja..., from satellite images umetapakaa jiji lote.., hapa ni ground.., Tanzania mko chini ya laana, unajaribu kulazimisha lakini wapi, satellite inaonyesha mazuri in Nairobi and Kenya is by far bigger than few negatives, ila Tanzania ukiimulika kwa satellite images balaa, taifa lote kwa juu ni picha ya ufukaraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ground.,,













Working class jioni wanarudishwa kwa ushuzi wao eti nyumba, wametoka kufanyia wahindi na waarabu kazi, wengine kupakua mizigo kutoka kwa meli wakipeleka kwa ma godownπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
tazama vile wamesononekaπŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œ
 
Duuuuh ze don mbona za zamani hizo? Omba usaidiwe na vitu latest usikae kishamba shamba🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
All in all Dar real estate is bigger than Naipori by USD 3bn mpaka hapo nitakapoona takwimu nyingine on the contrary [emoji16]
Tuko 2022 lakini wewe bado umekwamilia umekwamilia data za 2016πŸ˜‚πŸ˜‚, haya ebu tuonyeshe hizo real estate tuzione.

Upperhill 2016 and Upperhill 2022.

Upperhill 2016



Upperhill 2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…