Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiswahili can't help me anywhere in my lifetime, in fact I sat for Swahili exams just because it's a compulsory subject. Ingekuwa optional ningeiacha. Wewe Kiswahili inakusaidia na Nini tofauti na communication?
Kwani umuhimu wa lugha yoyote ni nini zaidi ya communication?. Wewe Gikuyu/Kijaluo/Kikalee au kiingereza kinakusaidia nini zaidi ya communication?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
aafu hatujawai ona ata cheti kimoja cha hawa watanganyika wote humu... sijui Tony254 ako wapi acharange hawa watu [emoji1787][emoji1787]
Wewe mgeni humu, waulize Wakunya wenzako, sisi ndiyo tumeanzisha kuweka vyeti humu na pia kuonesha kazi tunazofanya mpk wakunya wenzako wakaanza kuomba vyeti vya watu na kuja kupost humu.
 

Kumbe siku zote humu tunajibizana na wendawazimu, tazama kama huyu jamani hata common sense tu hamna. Nimekudharau sana.
 
Ndiyo kitu nilitaka kusema aweke mwaka wa hicho cheti, watanzania nadhani mnaona Wakenya walivyo waongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cheti co chake mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Apart from communication Kiswahili inakusaidia na nini tena? I just want you to answer that simple question.
Kingereza kinakusaidia nn apart from communication fala wewe muiba vyeti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gynaecologist wako wengi wapi?bado per patient ratio iko chini mno...Sa hospitali ya mkoa kama morogoro Gynaecologist mmoja unaona ni sawa?mkoa mzima wa morogoro Gynaecologist hawazidi 5
i undestand what i did was relative comparison na speciality nyingne ..sio kwamba wanatosha..mfano ukicompare na neurologist au pathologist
 
Naona nhc wamesikia mawazo yetu, wamekuja na SHS yaani Samia Housing Scheme wanajenga majengo yenye ghorofa 10-12 kwa ajili ya watu kuishi, kuna mpaka nyumba za 50mTshs, hili likifanyika ni jambo zuri sana mimi naona hivyo
Waondoe yale majengo yao makongwe yaliyotapakaa kwenye mij8 yote..wajenge majengo ya kisasa miji ipendeze
 
Medicine,Nursing,Radiology, you must have a credit pass in Physics, chemistry and Biology with atleast a pass in Maths and English
 
Naona nhc wamesikia mawazo yetu, wamekuja na SHS yaani Samia Housing Scheme wanajenga majengo yenye ghorofa 10-12 kwa ajili ya watu kuishi, kuna mpaka nyumba za 50mTshs, hili likifanyika ni jambo zuri sana mimi naona hivyo
Potential areas kama Manzese,tandale ama mwananyamala...wangefanya upgrades sababu ni maeneo yapo karibu na mjini...wangebomoa nyumba wapange upya mji...hata nyumba zao zingeuzika kiurahisi ...wakibomoa squatre taratibu mji unapangika...Na kingine wasisahu kuondoa huu utaratibu wa frames kwa kujenga shopping centres...masoko ya kisasa nk...itakua rahisi kuwabana traders kulipa kodi na kutumia machine za efd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…