What is the coverage of Kibera type slums, area and population ukilinganisha na sehemu za watu wengi wa kawaida?.., google earth shows clearly the scape of Nairobi vs Dar is slum.. yaani tofauti ni kubwa.., Tanzania is a slum country, or just underdeveloped or poor standards, probably your weak economy is reflected kwa standards za living of many people and even what they construct kwa wingi, tukilinganisha mko hovyo on average.., what u always want to deny 😂 😂u mean Kibera? hebu leta picha tuone those mabati and mud sharks!
Pia mimi naona hakuna slums in Tanzania., hizi sio slums mjukuu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .,Najua mnafosi tufanane ila ndio haiwezi kuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2343834
Ndio iko hivyo,yani kwa wastani mhindi anauchumi sawa na mkenya tuWewe huwa una imagination sana wewe [emoji1787], kuwa mfuatiliaji wa mambo ili uwe unajua kwa ukaribu what's going on kwenye hizo nchi
Hapo unanionyesha nn sasa lol
Kabisa hata SA motorbike sio usafiri kama hapa EACOutside Health especially Pharmaceutical I don't think India can influence anything else in the world. I can't talk about tuk tuk and Okada cause those are means of transport mainly used in third world countries. Developed countries use motorbike to do deliveries but not as taxi.
Gdp ni upumbavu kivipi fafanua,sio kwa maoni yako ndio utuaminishe ni upuuziSiku zote hapa tunavyosema GDP ni upumbavu when it comes to development debate ubongo wako huwa unauweka makalioni au sio?
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
Aiseee. 2025 tutafika tumechoka sana ndg zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tandale kwa tumbo ni middle class ?manzese,mburahati vingunguti tunaziclassify ajeNajua mnafosi tufanane ila ndio haiwezi kuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2343834
[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]When kunyalander says am changing keja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2343938
Tulia wewe wacha watu waupige mwingi mbele ya mama yetu mpendwa Samia,pesa zipo na miradi itakamilika,Sasa wanahangaika kwa maneno meengi kama hawakwenda shule kwa nini wasiangalie BoQ ndio iwe rahisi kufanya tathmini?
Kabisa mama karudisha yaani yupo moto sana binafsi namkubali,Rais Samia amerudisha Real estate ya Tanzania on track..
NHC kazini [emoji116]